Huna akiliNashauri mama awatoe masalia wote wa JPM
Yaani sympathizers wa mafisadi ni wajinga sana. Yaani wana akili finyu sana. Yaani badala ya kujua kuwa Dkt Magufuli aliogopwa na watandaji kiasi kwamba waliogopa kufanya ufisadi na baada ya kufa walishangilia wakijua mkali kaondoka ili waibe wanadhani mama hana akili za kulijua hilo.Wakati anawatoa waliokua viongozi wa awamu iliyopita yeye atakua wapi wakati huo?
kabisa. Magufulli aliteua watu wenye itikadi na misimamo kama yake. Ambao ni kuwa ikiwa una madaraka basi kauli yako haipingwi na kila unachoamua ni sahihi (rejea wateule wake katika nafasi za ukuu wa mkoa na wilaya). Ni dhahiri SSH hana mtazamo huo, ila kwa vile amerithi wale ambao walikuwa na mtazamo sawa na wa Magufuli, haiepukiki na yeye aidha kuonekana anaelemewa na kiti ama hana jema analofanya.Kama kuna kitu alikosea raisi SSH ni kurith viongozi wa magufuli.
Yaani hujuma lazima itokee
very trueKwasabb Magufuli aliacha majitu serikalini yaliyozoea kuabudiwa
Alitengeneza mfumo wa watu fulani maalum wenye kuogopwa na kuwa na nguvu ya kufanya kila kitu. Very wrong approach.Kwasabb Magufuli aliacha majitu serikalini yaliyozoea kuabudiwa
Unajua kitu inaitwa organisation vs re organisation??? Embu tumia muda wako kidogo kusoma hapoWakati anawatoa waliokua viongozi wa awamu iliyopita yeye atakua wapi wakati huo?
Unajua kitu inaitwa organisation vs re organisation??? Embu tumia muda wako kidogo kusoma hapo
Basi atakuwa mmoja ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea kama unayosema ni kweli. Yaani awe makamu wa rais halafu anyimwe nguvu alizopewa kikatiba halafu abaki kusifu na kutukuza tu kila kilichokuwa kinatokea? Kwa nini hakujiondoa?Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".
Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike.
Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama picha tu. Mambo yote yalikuwa yakiamuliwa na kuendeshwa na JPM pekee. ....one man show.