Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

Jiwe alikuwa mwizi na mzandiki. Kumtetea jiwe inahitaji kuwa mwendawazimu
 
Alikuwa taahira yule
 
Kama kuna kitu alikosea raisi SSH ni kurith viongozi wa magufuli.
Yaani hujuma lazima itokee

The sooner she realizes that all the Jiwe appointees in the government are not for her, the more urgency there is to replace them!!! Kulia Lia na kutafuta sympathy hakutamsaidia na kutegemea kuwa kuwateua wanawake na kuantagonize wanaume kwenye uteuzi kutamletea kura za wanawake kwenye uchaguzi ni kujidanganya!!! Hao wanawake anaowateua ni wa mijini na wasomi lakini wanawake ambao ndio wapiga kura wengi wako vijijni na ndio hao amewapiga TOZO za miamala ya Simu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…