Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.
Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.
Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ya hadhara.
Namna alivyotoa haki kwa waliobambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi na alivyorejesha furaha kwa walioprwa fedha zao.
Lakini kwa upande mwingine tunajiuliza kwanini;
1. Naona ni haki kwa covid-19 kuendeleza kuwa bungeni?
2. Aling'aka sana pale ambapo aliyekuwa spika wa bunge ndugu Ndugai alipotoa maoni yake kuhusu mikopo? Haamini katika uhuru wa kutoa maoni?
3. Anapokeakauli tata za akina Daniel Chongolo na Chalamila? Kauli zao ni dhahiri zinapingana na maagizo yake rais Samia. Amewatuma?
4. Suala la Katiba halipi nafasi ya kipaumbele katika kulishughulikia? She is too slow. Mpaka inatia mashaka. Au anaudanganya Umma?
5. Muswada wa Kinga kwa maafisa wa usalama wa taifa, huu ndiyo unatia mashaka sana.
Naomba nikiri bado sijaamini kama Rais Samia ni mwanademokrasia.