- Thread starter
- #21
Sukuma gang una hasira hatari. Unaongea ukiwa Chato? Hata iweje jiwe atabakia kuwa ndiye mtu mpuuzi zaidi kuliko wote kuwahi kuingia ikulu.Unadhani uongozi wa nchi ni sawa na kudandia chopa ili watu wakushangilie?
Baada ya kuchokwa kwa kumtukana JPM sasa umeanza kumtafuta Samia.
Siku ukibahatika kuwa hata Mtendaji wa Kata ndo utajua kwamba uongozi unahitaji maamuzi na siyo kuchekacheka kama nyani!!!
Mpaka sasa ni 1-1 na ni dakika ya 13 kipindi cha kwanza. KENGE
Samia mama wa watu ni msikivu tunaamini hizi ni kasoro ndogo ndogo tu atazirekwbisha.
Hata wewe u abwatuka humu ni kwasabb ya uhuru wa kujirleza uliowekwa na mama. Yule jini wako aliuondoa kabisa. Alikuwa anateka na kuuwa kila anayekosoa.
Yule jini jiwe afe tena huko aliko.