Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.

Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.

Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ya hadhara.

Namna alivyotoa haki kwa waliobambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi na alivyorejesha furaha kwa walioprwa fedha zao.

Screenshot_20230604-224516.png

Lakini kwa upande mwingine tunajiuliza kwanini;
1. Naona ni haki kwa covid-19 kuendeleza kuwa bungeni?
2. Aling'aka sana pale ambapo aliyekuwa spika wa bunge ndugu Ndugai alipotoa maoni yake kuhusu mikopo? Haamini katika uhuru wa kutoa maoni?
3. Anapokeakauli tata za akina Daniel Chongolo na Chalamila? Kauli zao ni dhahiri zinapingana na maagizo yake rais Samia. Amewatuma?

4. Suala la Katiba halipi nafasi ya kipaumbele katika kulishughulikia? She is too slow. Mpaka inatia mashaka. Au anaudanganya Umma?

5. Muswada wa Kinga kwa maafisa wa usalama wa taifa, huu ndiyo unatia mashaka sana.

Naomba nikiri bado sijaamini kama Rais Samia ni mwanademokrasia.
 
Muache mama apumzike, kutwa kucha mnamnanga, ana watoto na wajukuu wa kulea ujue
 
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.

Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.

Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ya hadhara.

Namna alivyotoa haki kwa waliobambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi na alivyorejesha furaha kwa walioprwa fedha zao.

View attachment 2646388
Lakini kwa upande mwingine tunajiuliza kwanini;
1. Naona ni haki kwa covid-19 kuendeleza kuwa bungeni?
2. Aling'aka sana pale ambapo aliyekuwa spika wa bunge ndugu Ndugai alipotoa maoni yake kuhusu mikopo? Haamini katika uhuru wa kutoa maoni?
3. Anapokeakauli tata za akina Daniel Chongolo na Chalamila? Kauli zao ni dhahiri zinapingana na maagizo yake rais Samia. Amewatuma?

4. Suala la Katiba halipi nafasi ya kipaumbele katika kulishughulikia? She is too slow. Mpaka inatia mashaka. Au anaudanganya Umma?

Naomba nikiri bado sijaamini kama Rais Samia ni mwanademokrasia.
Ktk Muswada wa TEETH utamwitaje?
 
CAG alipo soma report, nakumbuka skuile mama alifoka sana hadi akasema sitiyupidi.....😜 nikajua leo wamemkwaza mama, sasa nimesubiria weeeeeeee mpaka leo sijasikia kitu....😪
Kwa namna spika alivyoipuuza ile ripoti ya CAG ni dhahiri kwamba habari imeishia pale.

Na ukimsikiliza na kumsoma mama katikati ya mistari ya maneno yake mama Wala hana mpango wa kuwachukulia hatua waliohusika na upotevu wa fedha.
 
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.

Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.

Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ya hadhara.

Namna alivyotoa haki kwa waliobambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi na alivyorejesha furaha kwa walioprwa fedha zao.

View attachment 2646388
Lakini kwa upande mwingine tunajiuliza kwanini;
1. Naona ni haki kwa covid-19 kuendeleza kuwa bungeni?
2. Aling'aka sana pale ambapo aliyekuwa spika wa bunge ndugu Ndugai alipotoa maoni yake kuhusu mikopo? Haamini katika uhuru wa kutoa maoni?
3. Anapokeakauli tata za akina Daniel Chongolo na Chalamila? Kauli zao ni dhahiri zinapingana na maagizo yake rais Samia. Amewatuma?

4. Suala la Katiba halipi nafasi ya kipaumbele katika kulishughulikia? She is too slow. Mpaka inatia mashaka. Au anaudanganya Umma?

5. Muswada wa Kinga kwa maafisa wa usalama wa taifa, huu ndiyo unatia mashaka sana.

Naomba nikiri bado sijaamini kama Rais Samia ni mwanademokrasia.
Bado swala la Mpina!
Anashughulikiwa mtaani tunavyoongea...
 
Bado swala la Mpina!
Anashughulikiwa mtaani tunavyoongea...
Kaundiwa zengwe Mpina wa watu kwasabb ya spana zake. Wahuni wakapandikizwa kulalama na kulilia "uporaji" wa aridhi ya wananchi na media zikanunuliwa kurusha usanii huu.
 
CAG alipo soma report, nakumbuka skuile mama alifoka sana hadi akasema sitiyupidi.....[emoji12] nikajua leo wamemkwaza mama, sasa nimesubiria weeeeeeee mpaka leo sijasikia kitu....[emoji25]
Stupid huku lips zimepakwa lip stick, hata hao wanaitws hivyo wanajichekea tu moyoni.
 
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.

Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.

Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ya hadhara.

Namna alivyotoa haki kwa waliobambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi na alivyorejesha furaha kwa walioprwa fedha zao.

Naomba nikiri bado sijaamini kama Rais Samia ni mwanademokrasia.
Naomba usiwe na shaka, amini Rais Samia ni mwanademokrasia wa kweli bonafide genuine.
P
 
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.

Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.

Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ya hadhara.

Namna alivyotoa haki kwa waliobambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi na alivyorejesha furaha kwa walioprwa fedha zao.

View attachment 2646388
Lakini kwa upande mwingine tunajiuliza kwanini;
1. Naona ni haki kwa covid-19 kuendeleza kuwa bungeni?
2. Aling'aka sana pale ambapo aliyekuwa spika wa bunge ndugu Ndugai alipotoa maoni yake kuhusu mikopo? Haamini katika uhuru wa kutoa maoni?
3. Anapokeakauli tata za akina Daniel Chongolo na Chalamila? Kauli zao ni dhahiri zinapingana na maagizo yake rais Samia. Amewatuma?

4. Suala la Katiba halipi nafasi ya kipaumbele katika kulishughulikia? She is too slow. Mpaka inatia mashaka. Au anaudanganya Umma?

5. Muswada wa Kinga kwa maafisa wa usalama wa taifa, huu ndiyo unatia mashaka sana.

Naomba nikiri bado sijaamini kama Rais Samia ni mwanademokrasia.
Urais ulimuangukia tu lakini sio size yake
 
Labda demokrasia ya Africa ndivyo ilivyo ??!
 
Kuwaambia 'situpidi' wezi wa fedha za umma bila kuwachukulia hatua ni sawa na kuwaambia "I love you nawapenda sana" bi mkola anayumba sana
 
Hata huu muswada wa teeth namuweka upande wa Idd Amin Dada
Unadhani uongozi wa nchi ni sawa na kudandia chopa ili watu wakushangilie?

Baada ya kuchokwa kwa kumtukana JPM sasa umeanza kumtafuta Samia.

Siku ukibahatika kuwa hata Mtendaji wa Kata ndo utajua kwamba uongozi unahitaji maamuzi na siyo kuchekacheka kama nyani!!!
Mpaka sasa ni 1-1 na ni dakika ya 13 kipindi cha kwanza. KENGE
 
Back
Top Bottom