Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

Sukuma gang una hasira hatari. Unaongea ukiwa Chato? Hata iweje jiwe atabakia kuwa ndiye mtu mpuuzi zaidi kuliko wote kuwahi kuingia ikulu.

Samia mama wa watu ni msikivu tunaamini hizi ni kasoro ndogo ndogo tu atazirekwbisha.

Hata wewe u abwatuka humu ni kwasabb ya uhuru wa kujirleza uliowekwa na mama. Yule jini wako aliuondoa kabisa. Alikuwa anateka na kuuwa kila anayekosoa.

Yule jini jiwe afe tena huko aliko.
 

Huyo ni mmoja wa walioshiriki kuchakachua maoni ya wananchi kwenye rasimu ya Warioba kwenye bunge la katiba. Ni kweli hafanani kitabia na mtangulizi wake, lakini haamini kwenye demokrasia ya vyama vingi kwa maana ya demokrasia halisi. Alichofanya ni kutoa uhuru fulani wa kisiasa ili kupata misaada na mikopo kutoka nchi za magharibi, lakini bado anaamini mbinu za mtangulizi wake ndio zinazoweza kulinda madaraka yake.
 
Hamuwezi kumuelewa kwa sababu mnamshindanisha na Magufuli na mkajiwekea matarajio yenu yaliyopitiliza hadi kumfanya kuwa kama ni spesho tofauti na wengine na mkasahau kuwa Samia ni mwana ccm pia.

Suala kama la katiba mpya na hao covid 19 sijui hata kipi kilichowafanya mkafikiri ingewezekana akafanya tofauti na hivi sasa?
 
Mafisadi wengi ndani ya ccm.

Hata hivyo Rais Samia ana nafuu sana😅😅
 
Mafisadi wengi ndani ya ccm.

Hata hivyo Rais Samia ana nafuu sana😅😅
Unafuu wa nini? Kama yeye ni fisadi nafuu ila katika uongozi wake watu hufanya ufisadi kama watakavyo bila hofu sasa huo unafuu wake utakuwa na faida gani?
 
Uyu ni mtu hatari sana kuliko mnavyodhani bahati mbaya sana nchi imejaza wapumbavu wengi wanaoamini katika vyama sio Utaifa. Njoo Kenya uone linapozuka swala la kitaifa usahau vyama vyao kwanini Tanzania inaendekeza uCCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…