Uchaguzi 2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

Vina mahusiano ndio.Magufuli anauhakika wa kurudi madarakani kwa vyovyote vile kwa sababu kashikampini.
akiamua mpate wabunge wawili ashindwi.
Hilo ni miongoni mwa kazi za Rais Mgombea uchaguzi?Kuwapangia Watanzania wabunge wa kuwawakilisha?Wabunge kama mgombea wa Shinyanga Nate atakuwa anawawakilisha wajumbe 12 wa CCM ya kisasa?
 
Tulia wewe,utatubu tu muda ukifika.
kwani beigani,shin ngapi kwanza.
 
Wakina Kikwete walifikiria nini mpaka wakamwamini na kumpa nchi,wacheni anunue ndege nyingine ,5 ,anapenda sana ndege .
 
Kwanza inashangaza kuona tume iko kimya kukemea haya, ina maana tume iliteua matapeli na waongo kugombea nafasi ya urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Mwaka huu chadema wanaenda kupokea kipigo cha Mbwa mwizi .

Kwa luga nyingine kipigo kitakatifu na hawatakuja kusahau maishani mwao.
 
Hahaha hata msihofu, afya yake mbofumbofu sana huyo.
 
Chadema mtasemaje mmeshinda uchaguzi ilhali wabunge wenumwaka huu hawatozidi watano?
Soma hoja kuu Kisha usome ulichoandika Kama vinahusiana! Ni wapi mleta hoja kazungumzia wabunge? Utakuwa unatafunwa wewe!
 
Mimi huwa siangalii,hata wewe ukishika ukuta nakutafuna tu,huwa sichaguwi men au demu.
 
Nataka Siku Moja Nikifika Mbinguni Niwe Hata Mfagizi Wa Malaika, 😀😁😂😅😄😃
Mgombea Nafasi Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kwa Tiketi Ya Chama Dola
 
Je na chadema kama magufuli akishinda mko tayari kukubali na msisingizie kuwa mmeibiwa kura? Maana nyie wenyewe mmetangaza mtaingia porini.
Tangazo lipo wazi sana mkuu. CDM na ACT-wazalendo wamesema kwamba wako tayari kukubali matokeo kutoka sanduku la kura, wataingia barabarani kama sanduku la kura likipuuzwa na kutangaza ushindi wa mezani.
 
Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.

Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?

Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?

Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?

Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Akikosa jembe Lissu.....tusiwe na rais tu.
 
" je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka? "

Kwa mujibu wa katiba na sheria, ni lazima mshindi apatikane na waamuzi wakumpata mshindi ni wananchi. Ikitokea wananchi wakaitumia haki yao kwa uhuru kumchagua yule wanae mtaka awaongoze basi atakae shindwa kihalali itabidi akubali matokea, na kama yupo madarakani katiba na sheria zitamlazimisha kuondoka. Ila akikataa labda kwa ubabe tu basi katiba na sheria za nchi hii zitakuwa hazimuhusu. Akibaki madarakani kibabe ataongoza kwa katiba na sheria zipi?
 
Ndio swali analohoji mleta mada!Akishindwa uchaguzi kwenye sanduku la kura atakuwa tayari kuachia madaraka?
ANASHINDWAJE UCHAGUZI WAKATI ANAWAFIKIA WAPIGA KURA NA LISSU ANAWAFIKIA MASHABIKI NCHI HII WAPIGA KURA HAWAPO MIJINI ANAPOPITA LISSU WAPO MAWILAYANI NA VIJIJINI ANAPOPITA MAGUFURI KAMA UNAKILI USHAELEWA NANI MJANJA
 
Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.

Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?

Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?

Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?

Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Ameisha ona hashindi uchaguzi, anawaliwaza wafuasi na maccm wenzie, Ila ukweli Ni kuwa atautema uraisi kw aibu Kama Yule Laurent Gbagbo wa ivory cost alivyo utema uraisi kwa Alasane Quatara kwa fedhea na aibu kubwa
 
ANASHINDWAJE UCHAGUZI WAKATI ANAWAFIKIA WAPIGA KURA NA LISSU ANAWAFIKIA MASHABIKI NCHI HII WAPIGA KURA HAWAPO MIJINI ANAPOPITA LISSU WAPO MAWILAYANI NA VIJIJINI ANAPOPITA MAGUFURI KAMA UNAKILI USHAELEWA NANI MJANJA
Hayo yote sio concern yangu,hata kama Lissu akiwa na 0.01% ya kushinda,swali langu liko palepale!Je,JPM akishindwa kwenye sanduku la kura atakuwa tayari kuachia madaraka?
 
Je Kama hana mpango Wa kuachia madaraka anafanya Kampeni za ninina anaomba kura za nini Kama karuhusu lissu hata kujitutumua jua nchii hii in huru na na kila MTU anaheshimu Katiba
 
Jibu swali,akishindwa yuko tayari kuachia madaraka?
 
Ukisema anabebwa na mfumo aliouandaa utakuwa unakosea sana kwani hata magufuli mwenyewe anajua yeye ni chawa ndani ya mfumo wetu japo unahitaji maboresho pia anajua kwamba mfumo hautakuwa tayari kumbeba tena mfumo ni watu tena wenye akili na utashi😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom