cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Si mpinzani mwenzio unamuuliza nani sasa?Siasa zetu za bongo hizi ole wako, nasema oleee wakooo umtukane au kumkosoa flani sijui uanzishe chama pinzani, heheheh utapigwa kipigo cha mbwa koko, Hivi yule Mdude wa chadema aliekuwa anaongea sana ile kesi yake ya madawa ya heroin iliendeleaje
Hayo nenda uwajibu hawa Watanzania ambao inawauma kupita maaelezo Upendeleo kwenye kugawa rasilimali za Taifa ukiendelea, tutaanza kuchaguana kiuzawa
halafu nilishangaa na reli pia mumepeleka Mchina akachimbe karibu na huko Chato badala ya kuunganisha kwanza na kale kasafu ka Dar-Moro kaliokwamia njiani maporini huko.
Ukomavu gani ? Kenya gakuna chama bali makabila yenye nguvuAt least kuna upinzani na sio chama kimoja kinatawala tangu uhuru, huu ni ukomavu wa kisiasa.
Unazungumzia uchaguz wa makabila ndio huruHapana si kweli!
Usiishi kwa kukariri. Wakenya wako transparent sana sasa hivi. Hakuna cha nyani wala kundule hapa, wametupita na tunatakiwa kama Taifa tuangalie hili swala la uchaguzi na tume zake.
kale hakajakwama bado kazi inaendelea.
ulidhani kamekwama kama yakwenu😂😂😂😂.
hapana.
sasa ulitaka yenu ya 14century nayo ichukue muda kumalizika[emoji38][emoji38][emoji38].Ya kwetu kilomita 600km tumeisafiria hadi tumechoka nayo, hako kasafu ka kwenu 200km kamekwamia huko maporini na ujio wa Mchina mnampeleka akachimbe huko karibu na Chato badala aunge hapo mlipokwamia.
Jomo Kenyatta KikuyuHili la ukabila mlikua mkitusema sana ila naona kwenu ndio limetamalaki.....kila kitu kinakwenda Chato kwa mwendo kasi.
Joseph Barrage Wanjui, chairman of UAP-Old Mutual Group KIKUYUHili la ukabila mlikua mkitusema sana ila naona kwenu ndio limetamalaki.....kila kitu kinakwenda Chato kwa mwendo kasi.
Wanuri Kahiu, film director KIKUYUHili la ukabila mlikua mkitusema sana ila naona kwenu ndio limetamalaki.....kila kitu kinakwenda Chato kwa mwendo kasi.
sasa ulitaka yenu ya 14century nayo ichukue muda kumalizika[emoji38][emoji38][emoji38].
stop grouping them at the same class[emoji23][emoji23][emoji23].
na kweli mmechoka,mpaka mkaamua muishie njiani tu[emoji38][emoji38]Kasafu kaadogo 200km mlikua mkamilishe 2019 ila sijui huw mnatatizo gani nyie watu, sisi tumeteleza kwa SGR hadi tumechoka.
Jomo Kenyatta Kikuyu
Daniel Moi Kalinjen
Mwai Kibaki Kikuyu
Uhuru Kenyata Kikuyu
Mama Ngina Kikuyu
Allan Kilavuka(Jambo jet director) Kikuyu
Robert Kariuki Kibochi (CDF)Kikuyu
Hillary Mutyambai(IGP) Kikuyu
Githu Muigai Attorney General Kikuyu
Philomena Mbete Mwilu(Chief Justice) Kikuyu.
John Njenga, Archbishop of the Roman Catholic Church KIKUYU
Benson Wairegi, group CEO at Britam Holdings plc KIKUYU
na kweli mmechoka,mpaka mkaamua muishie njiani tu[emoji38][emoji38]
Yupi siyo mkikuyu hapo!? Kenyatta au Mama Ngina!?Wewe nimekua nakupuuza maana hata sijui nini kinakuuma haswa, hapa umekurupuka, tafuta Mkenya akupe asili ya makabila ya hayo majina, usiokoteze tu.
ama kweli ni ushamba tu kama ulivyotangulia kuandika.Tulipapatikia maana raha ya mfumo wa SGR ulikua mgeni kwetu, ila kwa sasa tumezoea na kuchoka tunataka kingine...
Hivi nyie kuna kichwa mlileta eti ndio SGR ila mkakinywesha gongo.