Products za elimu bure. Hata kuandika tatizo.Nyani hua aoni kundule.
Bora siasa za bongo na UG mara 100 kuliko hapo kunyaland huko kuna unafiki mkubwa na mwakani lazima mnyukane na kuhuana sana halafu majirani tutakuja kuwapatanisha
Wewe ni mpumbavu usiye na akili hebu fungua hiyo link halafu ujipime kama Hilo https://jamii.app/JFUserGuide lako Lina akili au ni kinyesi kimejaa humoNyani hua aoni kundule.
Bora siasa za bongo na UG mara 100 kuliko hapo kunyaland huko kuna unafiki mkubwa na mwakani lazima mnyukane na kuhuana sana halafu majirani tutakuja kuwapatanisha
unapanick mpaka unakuwa wa moto kisa kuambiwa ukweli[emoji38][emoji38]Wewe ni mpumbavu usiye na akili hebu fungua hiyo link halafu ujipime kama Hilo **** lako Lina akili au ni kinyesi kimejaa humo
Swine kabisa wewe
View attachment 1676644
Siasa zetu za bongo hizi ole wako, nasema oleee wakooo umtukane au kumkosoa flani sijui uanzishe chama pinzani, heheheh utapigwa kipigo cha mbwa koko, Hivi yule Mdude wa chadema aliekuwa anaongea sana ile kesi yake ya madawa ya heroin iliendeleaje
ZAMA ZA KALE.Watetezi wa haki za binadamu Kenya wakamatwa Today na polisi.
Teh teh teh... View attachment 1676774View attachment 1676776View attachment 1676777View attachment 1676778View attachment 1676779
amjulie wapi kazi makelele tu.kenya nyenye nyenye.Hivi unamjua miguna miguna. Uliza yuko wapi.
amjulie wapi kazi makelele tu.kenya nyenye nyenye.
Za kale? This is today my friend.ZAMA ZA KALE.
Hao nyumbu wala hawarepresent watanzania, hao ni tone baharini, wanaorepresent Tz walipiga kura October, wakagomea maandamano yao.Hayo nenda uwajibu hawa Watanzania ambao inawauma kupita maaelezo Upendeleo kwenye kugawa rasilimali za Taifa ukiendelea, tutaanza kuchaguana kiuzawa
ama kweli ni ushamba tu kama ulivyotangulia kuandika.
kwenye ujenzi wa reli kiwango,lazima mkandarasi awe na kichwa cha mabehewa kadhaa kwa ajiri ya majaribio.ndicho hicho kilianguka kikiwa kinawekwa kwenye reli hiyo inayotengenezwa.
hujaona kimebeba watu wanaweka simu juu ya chupa za soda na haianguki[emoji23][emoji23][emoji23],kwanini hukusema ndio imeanza kazi!!!
umeangalia hiyo video!!!!au unasubiri ufike kwenyw WIFI kwamza???Sijaelewa nini umeandika hapa, nahisi ulikua umechoka tayari kupambana na kila Mkenya na Mtanzania JF, bora nilikuacha upumzike ili akili ziwe tayari kuandika upya, hehehe shughuli kweli kweli.
We are one of the seven wonders of the world.Tanzania ndio hakuna upinzani kabisa. Vipi chama kimoja kinatawala huko kwa miaka sitini? Lazyland ina vituko sana.
umeangalia hiyo video!!!!au unasubiri ufike kwenyw WIFI kwamza???
You can say that again, CCM is another wonder of the world, it keeps winning even when everyone votes against it.8th wonder....
Miguna Miguna is not a Kikuyu is a Kamba8th wonder....
[emoji16][emoji16][emoji16]uchungu mkubwa[emoji38][emoji38]Kwetu hapa internet kibao huwa hatuhesabu MB kama kwenu huko, full unlimited bila kikomo.
Video sikufungua na wala huo muda sina, ila natumai utapata fursa ulale hata lisaa moja ili akili zikurudie uwe na uwezo wa kuandika vitu vinavyoeleweka.
nimecheka sana, wakenya hawajielewi, kenya hamna upinzani ni watu wale wale wanajigeuza; leo wanaamua kujiita upinzani na kesho chama tawala, ili mradi tu usimwamshe nyangau aliyelala.Kenya Kuna Upinzani? Wewe ni mgeni wa siasa za Kenya. Kausha