Ndio maana nasema hizi tuzo zilipaswa kuwa na categories tofauti kutokana na nafasi za wachezaji.Ukisema namba tu (magoli) utakuwa unawahalaishia washambuliaji hii tuzo.
Ok, sawa.Ndio maana nasema hizi tuzo zilipaswa kuwa na categories tofauti kutokana na nafasi za wachezaji.
Kinachofanya tuzo hizi ziende kwa washambuliaji ni kwasababu ya nature ya mchezo kubebwa na tukio moja kubwa ambalo ni mabao.
Ili kuwe na fairness kwenye ugawaji wa tuzo, viongezwe baadhi ya categories hapo ambazo aina fulani tu ya wachezaji ndio wanaowania tuzo hiyo.
Ushawahi kujiuliza, wanini tuzo ya mfungaji bora haijawahi kuwa na mjadala kuliko tuzo nyingine?Mkuu tumekutana tena 😂
Kama tuzo ni suala la kufunga magoli basi kina Lewandowisk, RVP, Suarezi, Harry Kane, Haland, Sarah, Caros Teves wangekuwa wamejaza hizo tuzo.
Hapo ndio unakuja kwenye hoja yangu ya mwanzo.Hakuna kigezo kimoja tu kinachoamua, bali muunganiko wa vigezo. Ongeza na interest binafsi za wagawa tuzo (kigezo kisichosemwa).
Yamal kafanya kipi Cha maana? Hata hio world cup hakuna chochote Cha maana alichofanya.Wampe Yamal tu ..Rodri na fabian Ruiz awastahili kupewa iyo tuzo wote nusu ya msimu kwenye timu zao walikuwa majeruhi leo mtu acheze mechi 8 uniambie ni bora si ushubwada uwo..Yamal kafanya kila kitu kuanzia ngazi ya klabu mpala WC
Haya nimekubali, wewe unaona nani anafaa kupewa hii tuzo?
Dembele kafanya kipi cha maana , individual performance kazidiwa mpaka na kvara.Nakubaliana na wanaosema apewe Dembele
Yamal kafanya kipi Cha maana? Hata hio world cup hakuna chochote Cha maana alichofanya.
Mbappe ukimweka na Yamal still mbappe ni far better kutokana na performance yake.
Mbappe top scorer UEFA, La Liga na word cup .
Hii tuzo kwa sasa na wachezaji waliopo anastahili mbappe zaidii kuliko yoyote yule.
Dembele hamna kitu mule mchezaji chances 8 anafunga 1. Matches zenyewe anacheza mechi hazizidi 15 msimu mzima.Dembele wakati anachukua hiyo tuzo alikuwa mweupe?
Kwahiyo unataka apewe kwa sababu kaongoza kwa mabao?
Kwahiyo kigezo cha Ballon d'or kiwe kuongoza kwa mabao na kucheza nusu fainali?
Wakati anachukua Dembele mfungaji bora UEFA alikuwa Raphina na Guirassy kwa kigezo chako wao walistahili zaidi kuliko Dembele?
Nitalia sana hilo likitokeaHiyo tuzo anachukua Mbappe. Nitawakumbusha hapa. 😊
Ni kweli, ni kwasababu alikuwa majeruhi lakini mchango wake kwa timu kuchukua champion ulikuwepo tena mkubwa tu na hata kombe la dunia alikuwa vizuri ni vile tu kuna mbape ambae ametumika kama straiker lkn bado alikuwa na mchango mkubwa tuDembele kafanya kipi cha maana , individual performance kazidiwa mpaka na kvara.
Dembele hamna kitu hapa hata ni zali tu lilimtokea lakini mchezaji wa kawaida sana.
Kabisa jamaa anastahiliApewe Dembele waache janja janja
NakaziaKwangu mimi Dembele anastahili kuliko hao wengine
Mchezaji wa kawaida UEFA alikuwa na goli kama sio sita saba,kwenye ligi alikuwa na goli kumi bila kusahau assist na WC si umeona kiongozi?Dembele kafanya kipi cha maana , individual performance kazidiwa mpaka na kvara.
Dembele hamna kitu hapa hata ni zali tu lilimtokea lakini mchezaji wa kawaida sana.
Watu wanataka eti hadi Messi kweli kama asipopata Dembele basi Mbappe japo kwangu Dembele ilikuwa kura yangu anapataKabisa jamaa anastahili