Kwa kigezo hiki, Mbappe atashinda Ballon d'Or mwaka 2026?

Mchezaji wa kawaida UEFA alikuwa na goli kama sio sita saba,kwenye ligi alikuwa na goli kumi bila kusahau assist na WC si umeona kiongozi?

Hii tuzo tofauti na Dembele labda Mbappe hao wengine hamna
Kipi sasa kimpe uchezaji Bora? Hizo goal 8 Bado kazidiwa na kvara teammate wake.
Dembele hamna sifa hata ya kuepo kwenye top 5 , nitajie match yake Bora hata 2 tu UEFA
 
Kvara unayemsema kwenye ligi kamaliza na goli ngapi na Dembele ngapi?Mchezaji anasemwa bora kwa kutafuta mechi moja tu au ni takwimu zake ndizo zinaangaliwa?

Ukianza kusema nitafute mechi Dembele aliyofanya vizuri hapa hii tuzo itakuwa ya Man of the match sio tena tuzo ya mchezaji bora
 
Huyu krava unaesema pia ni miongoni mwa wachezaji wa psg waliofanya vizuri msimu uliopita nae anastahili kuwa nafasi za juu katika list ya hiyo tuzo, mwingine ni Doue pamoja na Mendes hao ndio miamba wa Uefa hata kikosi bora wanastahili kuwepo

Kinachombeba Dembele ni kuwa kwa sasa ndio starling wa timu ya psg hata akiwepo uwanjani macho ya mabeki wote kwake na pia hakuwa mbovu kama ulivyosema na ana magoli na assist pia. Kingine Dembele anabebwa na timu ya Taifa kwenda kwenye hatua ya nusu fainali akiwa kama mchezaji tegemezi yeye pamoja na mbape na olise nako pia alifanya vizuri

Hizi man of the match sio kigezo maana Nuno amekuwa man of the match mara kibao na makipa wengine lakini kwenye mbio za balon dior wako chini kwenye list
 
Kvara unayemsema kwenye ligi kamaliza na goli ngapi na Dembele ngapi?Mchezaji anasemwa bora kwa kutafuta mechi moja tu au ni takwimu zake ndizo zinaangaliwa?

Ukianza kusema nitafute mechi Dembele aliyofanya vizuri hapa hii tuzo itakuwa ya Man of the match sio tena tuzo ya mchezaji bora
Kwenye ligi dembele ana goal 10 na assist hazizidi 9 sio top scorer kwenye Ligue 1 kazidiwa magoli mpaka na kina greenwood.

Hakuna match ambayo tumeona individual brilliance ya dembele, PSG inacheza kitimu zaidi, dembele sio mchezaji hatari maana hata kwenye Ligue yao tu mchezaji ana goal 10 sasa huyu balloon dor anapewa ya Nini?
Olise vs dembele kwa msimu uliopita still olise ni Bora zaidi hata hio world cup olise amekua Bora zaidi kushinda dembele.

Kuna msururu wa wachezaji ambayo wamefanya vizurrii zaidi ya balloon dor holder kama vile olise, Harry Kane, halland, Luis Diaz na mbappe Hawa wote walikua na msimu mzuriii zaidi ya dembele.
 
Kaka sijakataa lakini mwisho wa siku anayevikwa taji ndio mshindi sio mbio ulizokimbia.

Olise kwenye huu mchakato sijui kama katajwa.Halland,Mbappe tofauti na golden boot wanakipi kingine kwa msimu uliomalizika.

Bora Harry Kane anayo Bundesliga na golden boot lakini Dembele anayo title ya ligi na UEFA ambapo mchango wake unaonekana.Ukisema Dembele alikuwa yupo yupo tu PSG nakataa.Kawa crowned kama man of the Match nadhani game mbili za UEFA kama takwimu zangu zitakuwa sawa.Sasa unasema vipi mchango wake huoni?
 
Kwenye ligi dembele ana goal 10 na assist hazizidi 9 sio top scorer kwenye Ligue 1 kazidiwa magoli mpaka na kina greenwood.

Hakuna match ambayo tumeona individual brilliance ya dembele, PSG inacheza kitimu zaidi, dembele sio mchezaji hatari maana hata kwenye Ligue yao tu mchezaji ana goal 10 sasa huyu balloon dor anapewa ya Nini?
Olise vs dembele kwa msimu uliopita still olise ni Bora zaidi hata hio world cup olise amekua Bora zaidi kushinda dembele.

Kuna msururu wa wachezaji ambayo wamefanya vizurrii zaidi ya balloon dor holder kama vile olise, Harry Kane, halland, Luis Diaz na mbappe Hawa wote walikua na msimu mzuriii zaidi ya dembele.
Labda kuweka mambo sawa.Nimesema Dembele kwa sababu mwisho wa siku anavyo vitu vya kupresent kwetu ikiwa itahitajika na takwimu zake still ni nzuri.

Mfano mwepesi,tuseme wewe ulikuwa mwanafunzi bora toka kidato cha kwanza mpaka cha tatu lakini ukafika kidato cha nne mtihani wa mwisho ukapasuka,unadhani kuna mtu ataelewa habari zako kwamba ulikuwa best student huko nyuma?(ndio akina Mbappe,Halland na wenzake) lakini anotokea janja alikuwa sio mzuri sana na sio mbaya huko nyuma lakini mtihani wa mwisho anafaulu(Dembele(league title,UEFA,WC 4th position)) unadhani mshindi atakuwa nani?
 
Dembele hamna kitu mule mchezaji chances 8 anafunga 1. Matches zenyewe anacheza mechi hazizidi 15 msimu mzima.
Ni vile tu hiki kizazi Cha sasa hamna wachezaji wa maana yaani Leo hii dembele ana balloon dor lakini kina hazard, Rooney, robben hawana balloon dior.
Hawa uliowataja wangekua kizaz hki wangesumbua sana.
 
Mbappe yupo fresh ßana nadhani wampatie tu jamaa anajituma kombe la Dunia alikuwa amekata tamaa hasa Ile penalty ikamuharibu kabisa
 
Ndio maana nasema kujaji ubora wa mchezaji kwa kuangalia tuzo sioni kama ni njia sahihi kwasababu hizo tuzo ni mara nyingi zimekuwa rigged.
Wewe ubora unaujaji kwa njia gani kiongozi?
 
Ushawahi kujiuliza, wanini tuzo ya mfungaji bora haijawahi kuwa na mjadala kuliko tuzo nyingine?

Mfano kwenye tuzo za Rodri, hii ya sasa na ile ballon d'Or, unadhani kwanini zimekuwa na criticism sana?

Ushawahi kuona tuzo ya mfungaji bora ikilalamikiwa kuwa imeenda kwa mtu asiye sahihi?
Kigezo cha mfungaji bora ni mwenye magoli mengi. Kipo clear.

Ila mchezaji bora inajumuisha kuanzia golikipa, beki, kiungo, winga, mshambuliaji. Kuna wengine huwezi kuwajaji kwa namba. Lazima analytical skills itumike with logic and facts.
 
Ila mchezaji bora inajumuisha kuanzia golikipa, beki, kiungo, winga, mshambuliaji. Kuna wengine huwezi kuwajaji kwa namba. Lazima analytical skills itumike with logic and facts
Mbappe yupo fresh ßana nadhani wampatie tu jamaa anajituma kombe la Dunia alikuwa amekata tamaa hasa Ile penalty ikamuharibu kabisa
Kujituma wachezaji wanaojituma ni wengi sana. Unaongelea vipi kujituma kwa Mbape WC, bila kuongelea kujituma kwa Olise?
 
Naona dubleduble. Wangeniuliza mwogeleaji bora wa dunia ningetoa neno
 
Kigezo cha mfungaji bora ni mwenye magoli mengi. Kipo clear.

Ila mchezaji bora inajumuisha kuanzia golikipa, beki, kiungo, winga, mshambuliaji. Kuna wengine huwezi kuwajaji kwa namba. Lazima analytical skills itumike with logic and facts.
Maana yake kigezo cha mchezaji bora hakipo clear?

Hizo analysis ndio mi nazitaka

Niambieni ni zipi na zipi ambazo hazijitoshelezi kusimama zenyewe mpaka kuhitaji kupigiwa kura.
 
Wewe ubora unaujaji kwa njia gani kiongozi?
Kwa matukio makubwa uwanjani.

Tukio la kwanza ni kufunga goli (hili ndio tukio kubwa zaidi) na kama ndio tukio kubwa basi ndio factor inayopaswa kuwa kipaumbele.

Hizo dribbles na assist vinaweza kufuatia.
 
Ushawahi kujiuliza, wanini tuzo ya mfungaji bora haijawahi kuwa na mjadala kuliko tuzo nyingine?

Mfano kwenye tuzo za Rodri, hii ya sasa na ile ballon d'Or, unadhani kwanini zimekuwa na criticism sana?

Ushawahi kuona tuzo ya mfungaji bora ikilalamikiwa kuwa imeenda kwa mtu asiye sahihi?
Kigezo cha mfungaji bora ni mwenye magoli mengi. Kipo clear.

Ila mchezaji bora inajumuisha kuanzia golikipa, beki, kiungo, winga, mshambuliaji. Kuna wengine huwezi kuwajaji kwa namba. Lazima analytical skills itumike with logic and facts
Mbappe yupo fresh ßana nadhani wampatie tu jamaa anajituma kombe la Dunia alikuwa amekata tamaa hasa Ile penalty ikamuharibu kabisa
Kujituma wachezaji wanaojituma ni wengi sana. Unaongelea vipi kujituma kwa Mbape WC, bila kuongelea kujituma kwa Olise?
Maana yake kigezo cha mchezaji bora hakipo clear?

Hizo analysis ndio mi nazitaka

Niambieni ni zipi na zipi ambazo hazijitoshelezi kusimama zenyewe mpaka kuhitaji kupigiwa kura.
Yes, haiwezi kuwa objective. Unataka umhukumu beki kwa idadi ya magoli? Au hasitahili kuwa mchezaji bora?

Unaangaliwa mchango uliouweka na impact yake kwa mafanikio ya timu. Sasa mtu kama alikutana na Ilanda FC akafunga goli tano, kaja kwa Kibanda FC kajipigia tu. Apewe tu tuzo kwa sababu tu kawa mfungaji bora? Kigezo cha magoli ni kigezo mama kwenye tuzo ya mfungaji bora, inapokuja tuzo ya mchezaji bora hicho ni moja kati ya vigezo vingine vingi.

Natoa mfano tu ningelikuwa mimi: Ningeangalia ulichokifanya kimeibeba timu kwa kiasi gani. Mfano Jude msimu ule alikuwa mfungaji bora namagoli yake yaliipa Madrid point tatu kwenye mechi nyingi muhimu.

Mfano Rodri gemu ya Argentina fainali hajafunga ila katawala dimba, aliimiliki gemu akailinda na kuichezesha timu. Lakini Ferran kaja kufunga gori. Je Ferran alistahili kuwa mchezaji bora wa mchezo kwa kuwa alifunga?

Kuna kufunga magori kuna wanaosababisha magoli yatokee, wasipokewepo mfungaji hatoboi. Chances created✓, kuokoa timu inaposhambuliwa, upo active uwanjani au unasubiri kutafuniwa tu na kumeza. Mfano pale Simba naweza kukwambia Rushein alikuwa na msimu bora zaidi ya Seleman Mwalimu, ila Mwalimu ndo top scorer wa timu.

Diara ni kipa ila nathubutu kusema amekuwa bora nikimlinganisha na Dube au Depu. Kwa ukija na kigezo cha kufunga magoli ina maana kipa na beki wao sio wachezaji?
 
Kwa matukio makubwa uwanjani.

Tukio la kwanza ni kufunga goli (hili ndio tukio kubwa zaidi) na kama ndio tukio kubwa basi ndio factor inayopaswa kuwa kipaumbele.

Hizo dribbles na assist vinaweza kufuatia.
Huoni kwamba ukiweka kufunga goli pekee nafasi za mabeki, magolikipa, viungo utawaweka kando na kuwapa forwad pekee.??
 
Back
Top Bottom