Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Kipi sasa kimpe uchezaji Bora? Hizo goal 8 Bado kazidiwa na kvara teammate wake.Mchezaji wa kawaida UEFA alikuwa na goli kama sio sita saba,kwenye ligi alikuwa na goli kumi bila kusahau assist na WC si umeona kiongozi?
Hii tuzo tofauti na Dembele labda Mbappe hao wengine hamna
Kvara unayemsema kwenye ligi kamaliza na goli ngapi na Dembele ngapi?Mchezaji anasemwa bora kwa kutafuta mechi moja tu au ni takwimu zake ndizo zinaangaliwa?Kipi sasa kimpe uchezaji Bora? Hizo goal 8 Bado kazidiwa na kvara teammate wake.
Dembele hamna sifa hata ya kuepo kwenye top 5 , nitajie match yake Bora hata 2 tu UEFA
Huyu krava unaesema pia ni miongoni mwa wachezaji wa psg waliofanya vizuri msimu uliopita nae anastahili kuwa nafasi za juu katika list ya hiyo tuzo, mwingine ni Doue pamoja na Mendes hao ndio miamba wa Uefa hata kikosi bora wanastahili kuwepoKipi sasa kimpe uchezaji Bora? Hizo goal 8 Bado kazidiwa na kvara teammate wake.
Dembele hamna sifa hata ya kuepo kwenye top 5 , nitajie match yake Bora hata 2 tu UEFA
Kwenye ligi dembele ana goal 10 na assist hazizidi 9 sio top scorer kwenye Ligue 1 kazidiwa magoli mpaka na kina greenwood.Kvara unayemsema kwenye ligi kamaliza na goli ngapi na Dembele ngapi?Mchezaji anasemwa bora kwa kutafuta mechi moja tu au ni takwimu zake ndizo zinaangaliwa?
Ukianza kusema nitafute mechi Dembele aliyofanya vizuri hapa hii tuzo itakuwa ya Man of the match sio tena tuzo ya mchezaji bora
Kaka sijakataa lakini mwisho wa siku anayevikwa taji ndio mshindi sio mbio ulizokimbia.Kwenye ligi dembele ana goal 10 na assist hazizidi 9 sio top scorer kwenye Ligue 1 kazidiwa magoli mpaka na kina greenwood.
Hakuna match ambayo tumeona individual brilliance ya dembele, PSG inacheza kitimu zaidi, dembele sio mchezaji hatari maana hata kwenye Ligue yao tu mchezaji ana goal 10 sasa huyu balloon dor anapewa ya Nini?
Olise vs dembele kwa msimu uliopita still olise ni Bora zaidi hata hio world cup olise amekua Bora zaidi kushinda dembele.
Kuna msururu wa wachezaji ambayo wamefanya vizurrii zaidi ya balloon dor holder kama vile olise, Harry Kane, halland, Luis Diaz na mbappe Hawa wote walikua na msimu mzuriii zaidi ya dembele.
Labda kuweka mambo sawa.Nimesema Dembele kwa sababu mwisho wa siku anavyo vitu vya kupresent kwetu ikiwa itahitajika na takwimu zake still ni nzuri.Kwenye ligi dembele ana goal 10 na assist hazizidi 9 sio top scorer kwenye Ligue 1 kazidiwa magoli mpaka na kina greenwood.
Hakuna match ambayo tumeona individual brilliance ya dembele, PSG inacheza kitimu zaidi, dembele sio mchezaji hatari maana hata kwenye Ligue yao tu mchezaji ana goal 10 sasa huyu balloon dor anapewa ya Nini?
Olise vs dembele kwa msimu uliopita still olise ni Bora zaidi hata hio world cup olise amekua Bora zaidi kushinda dembele.
Kuna msururu wa wachezaji ambayo wamefanya vizurrii zaidi ya balloon dor holder kama vile olise, Harry Kane, halland, Luis Diaz na mbappe Hawa wote walikua na msimu mzuriii zaidi ya dembele.
Hawa uliowataja wangekua kizaz hki wangesumbua sana.Dembele hamna kitu mule mchezaji chances 8 anafunga 1. Matches zenyewe anacheza mechi hazizidi 15 msimu mzima.
Ni vile tu hiki kizazi Cha sasa hamna wachezaji wa maana yaani Leo hii dembele ana balloon dor lakini kina hazard, Rooney, robben hawana balloon dior.
Sana yani mkuu Hammaz mkuu unasemaje ndugu yangu hapa maoni yako 🥺🤔Hawa uliowataja wangekua kizaz hki wangesumbua sana.
Wewe ubora unaujaji kwa njia gani kiongozi?Ndio maana nasema kujaji ubora wa mchezaji kwa kuangalia tuzo sioni kama ni njia sahihi kwasababu hizo tuzo ni mara nyingi zimekuwa rigged.
Kigezo cha mfungaji bora ni mwenye magoli mengi. Kipo clear.Ushawahi kujiuliza, wanini tuzo ya mfungaji bora haijawahi kuwa na mjadala kuliko tuzo nyingine?
Mfano kwenye tuzo za Rodri, hii ya sasa na ile ballon d'Or, unadhani kwanini zimekuwa na criticism sana?
Ushawahi kuona tuzo ya mfungaji bora ikilalamikiwa kuwa imeenda kwa mtu asiye sahihi?

Kujituma wachezaji wanaojituma ni wengi sana. Unaongelea vipi kujituma kwa Mbape WC, bila kuongelea kujituma kwa Olise?Mbappe yupo fresh ßana nadhani wampatie tu jamaa anajituma kombe la Dunia alikuwa amekata tamaa hasa Ile penalty ikamuharibu kabisa
Maana yake kigezo cha mchezaji bora hakipo clear?Kigezo cha mfungaji bora ni mwenye magoli mengi. Kipo clear.
Ila mchezaji bora inajumuisha kuanzia golikipa, beki, kiungo, winga, mshambuliaji. Kuna wengine huwezi kuwajaji kwa namba. Lazima analytical skills itumike with logic and facts.
Kwa matukio makubwa uwanjani.Wewe ubora unaujaji kwa njia gani kiongozi?
Kigezo cha mfungaji bora ni mwenye magoli mengi. Kipo clear.Ushawahi kujiuliza, wanini tuzo ya mfungaji bora haijawahi kuwa na mjadala kuliko tuzo nyingine?
Mfano kwenye tuzo za Rodri, hii ya sasa na ile ballon d'Or, unadhani kwanini zimekuwa na criticism sana?
Ushawahi kuona tuzo ya mfungaji bora ikilalamikiwa kuwa imeenda kwa mtu asiye sahihi?
Kujituma wachezaji wanaojituma ni wengi sana. Unaongelea vipi kujituma kwa Mbape WC, bila kuongelea kujituma kwa Olise?Mbappe yupo fresh ßana nadhani wampatie tu jamaa anajituma kombe la Dunia alikuwa amekata tamaa hasa Ile penalty ikamuharibu kabisa
Yes, haiwezi kuwa objective. Unataka umhukumu beki kwa idadi ya magoli? Au hasitahili kuwa mchezaji bora?Maana yake kigezo cha mchezaji bora hakipo clear?
Hizo analysis ndio mi nazitaka
Niambieni ni zipi na zipi ambazo hazijitoshelezi kusimama zenyewe mpaka kuhitaji kupigiwa kura.
Huoni kwamba ukiweka kufunga goli pekee nafasi za mabeki, magolikipa, viungo utawaweka kando na kuwapa forwad pekee.??Kwa matukio makubwa uwanjani.
Tukio la kwanza ni kufunga goli (hili ndio tukio kubwa zaidi) na kama ndio tukio kubwa basi ndio factor inayopaswa kuwa kipaumbele.
Hizo dribbles na assist vinaweza kufuatia.
NaonaHuoni kwamba ukiweka kufunga goli pekee nafasi za mabeki, magolikipa, viungo utawaweka kando na kuwapa forwad pekee.??
Basi acha iendelee kua hivi, walau ina make sense kuliko hiyo utakayo kiongozi.Naona
Yanga na yao ni the sameBasi acha iendelee kua hivi, walau ina make sense kuliko hiyo utakayo kiongozi.