Pio Gama Pinto
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 285
- 251
Ala! Kumbe! Hapa patamuNape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ala! Kumbe! Hapa patamuNape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Furahia ujinga huku Kenya ilitoa rais wa marekani na India imetoa rais wa uingereza, huku wanaoijua lugha wanapata kazi kwenye mashirika ya kimataifa yakiwemo UN na AU ambayo sisi ni wanachama. Pia kwa ujinga huo tuliingia mikataba ambayo hatukuielewa na hivi sasa tunalazimika kuwalipa wanaojua lugha.Kusema ukweli huwa nafarijika sana kuona watanzania hawajui hiyo lugha, maana tunaonyesha kuwa hatujatawaliwa kiutamaduni wetu.
Bahati mbaya haukuwahi kumsikiliza dada mmoja wa kimarekani aliyekuja kujifunza lugha ya kimatengo na aliongea kwa ufasaha sana kuliko vijana wa huko.Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Nape hawezi kuandika kingereza cha hivyo, Nape amesaini tu. Nape kichwani ni mweupe mno, sidhani kama anaweza kuunga gata sentence moja ya kingereza, labda phrase kama 'I am eating' ndizo aite sentence.Huu mwandiko wa Nape Kabisa!
Ukiongea kiingereza kibovu siwezi kukulaumu. Lakini ukiandika kiingereza kibovu inaonesha wewe sio makini kwani, ulikua na muda wa kuwauliza wasaidizi wako au hata kutumia computer kukusahihisha kabla hujaleta ujinga wako hadharani. Kwani alikua na haraka gani? He had all the time in the world.Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Ha ha haaaaaa Jameni Moseti ndio alisoma au???Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Wapi tumekomalia? Angeandika Kwa kiswahili tu basiKiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Mandela alisema if you corrupt in education you produce corrupt leaderNape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Ndiyo maana hawana vipimo vya kaziNchi ambayo mtu anapata nafasi sababu eti tu Baba yake alikua fulani unatarajia nini?
Si ajabu nchi ilivyo sasa unaweza kudhani rais ni Bambo au Kingwendu.
Tumeingia mtegoni!!!Hicho ndio Kiingereza cha Minister, Aibu tupu. Mtu kama huyu naye juzi ameshiriki kwenye mkutano wa ITU, inasikitisha sana
Alitumia muda na resources zetu kukomboa nchi za kusini mwa AfrikaNguvu nyingi ziliwekwa kwenye nyimbo za kupondea id amin na kambona personally badala ya mawazo yao.
Mwl Nyerere pamoja na kusaidia kudai uhuru ila hakuwa muelewa wa diplomasia ya uchumi, in fact alikuwa mtupu kabisa. Mifano mingi sana juu ya udhaifu wa Mwl. Mfano mmojawapo kulikuwa na haja gani ya kuondokana na mfumo wa Elimu ya Muingereza??? Je kulikuwa na haja gani ya kuondokana na mfumo wa uendeshaji wa uchumi wa muingereza??? Ukitaka kujua Mwl alikuwa hajui diplomasia ya uchumi mcheki Madiba a.k.a Mzee Mandela. Yeye alipo pata uhuru alisema kabisa hawa Makaburu pamoja na ubaya wao il Elimu na Uchumi aliwaachia na yeye akaamua tu kitu kimoja uhuru wa kujitawala ambao mpaka leo bado ni kituko. Rais Dkt Samia ni Professor wa diplomasia ya uchumi na Elimu (ingawa elimu uharibifu wake alioufanya Mwl Nyerere ni mkubwa na repair yake it will take years kuponya). Kwenye uchumi sasa tunaona Rais Dkt Samia anavyotupambania kuhakikisha tunakuwa kama au zaidi ya Dubai. Ni muhimu tumuunge mkono rais wetu Dkt Samia.Enzi za mwalimu darasa la 8 walikuwa wanaongea kiingereza fasaha kilichokuja kuharibu elimu yetu ni BRN
Ha ha haaaaInasemekana hii barua ameandikiwa pale wizarani sipati picha kama angeandika yeye mwenyewe nahisi tungekufa Kwa kucheka
Angeprood read yeye angeharibu zaidi Bora aliacha hivi hiviMimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Nilitarajia kuona yakouliyoandika baada ya hayo makosa ili tuone nawe ni kwa kiasi gani unaelewa hiyo lugha ya watu. Kwangu mimi nimeona baadhi ya makosa uliyoyaainisha umekosea wewe!!Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
🤣🤣🤣🙌Ahahahaha nasikia ali edit mara 5 kabla ya kuitoa official
Si umemwelewa? Kwenye kiingereza Kuna correct and good English; the written letter is with correct English though not good, inatoshaWapi tumekomalia? Angeandika Kwa kiswahili tu basi