Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kusema ukweli huwa nafarijika sana kuona watanzania hawajui hiyo lugha, maana tunaonyesha kuwa hatujatawaliwa kiutamaduni wetu.
Furahia ujinga huku Kenya ilitoa rais wa marekani na India imetoa rais wa uingereza, huku wanaoijua lugha wanapata kazi kwenye mashirika ya kimataifa yakiwemo UN na AU ambayo sisi ni wanachama. Pia kwa ujinga huo tuliingia mikataba ambayo hatukuielewa na hivi sasa tunalazimika kuwalipa wanaojua lugha.
 
Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Bahati mbaya haukuwahi kumsikiliza dada mmoja wa kimarekani aliyekuja kujifunza lugha ya kimatengo na aliongea kwa ufasaha sana kuliko vijana wa huko.
 
Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Ukiongea kiingereza kibovu siwezi kukulaumu. Lakini ukiandika kiingereza kibovu inaonesha wewe sio makini kwani, ulikua na muda wa kuwauliza wasaidizi wako au hata kutumia computer kukusahihisha kabla hujaleta ujinga wako hadharani. Kwani alikua na haraka gani? He had all the time in the world.
Tunajua unavaa chupi, lakini hatuhitaji utuoneshe chupi yako uliyovaa.
 
Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Wapi tumekomalia? Angeandika Kwa kiswahili tu basi
 
Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Mandela alisema if you corrupt in education you produce corrupt leader
Nchi ambayo mtu anapata nafasi sababu eti tu Baba yake alikua fulani unatarajia nini?

Si ajabu nchi ilivyo sasa unaweza kudhani rais ni Bambo au Kingwendu.
Ndiyo maana hawana vipimo vya kazi
 
Enzi za mwalimu darasa la 8 walikuwa wanaongea kiingereza fasaha kilichokuja kuharibu elimu yetu ni BRN
Mwl Nyerere pamoja na kusaidia kudai uhuru ila hakuwa muelewa wa diplomasia ya uchumi, in fact alikuwa mtupu kabisa. Mifano mingi sana juu ya udhaifu wa Mwl. Mfano mmojawapo kulikuwa na haja gani ya kuondokana na mfumo wa Elimu ya Muingereza??? Je kulikuwa na haja gani ya kuondokana na mfumo wa uendeshaji wa uchumi wa muingereza??? Ukitaka kujua Mwl alikuwa hajui diplomasia ya uchumi mcheki Madiba a.k.a Mzee Mandela. Yeye alipo pata uhuru alisema kabisa hawa Makaburu pamoja na ubaya wao il Elimu na Uchumi aliwaachia na yeye akaamua tu kitu kimoja uhuru wa kujitawala ambao mpaka leo bado ni kituko. Rais Dkt Samia ni Professor wa diplomasia ya uchumi na Elimu (ingawa elimu uharibifu wake alioufanya Mwl Nyerere ni mkubwa na repair yake it will take years kuponya). Kwenye uchumi sasa tunaona Rais Dkt Samia anavyotupambania kuhakikisha tunakuwa kama au zaidi ya Dubai. Ni muhimu tumuunge mkono rais wetu Dkt Samia.
 
Shida nini?grammer au spelling?Mhe.Waziri anaandikiwa na wataalam wake.Panatakiwa kuwepo wataalam wa editing waliosoma English Language from Chekechea to Mastaz tena Mastaz za London!
 
Mimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Angeprood read yeye angeharibu zaidi Bora aliacha hivi hivi
 
Nape ni Zero brain Form Four failure na anajifanya mjuaji unategemea nini? Usikute aliandika kwanza kiswahili then akapeleka google kutranslate.
 
Back
Top Bottom