Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

dej

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
60
Reaction score
150
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa

Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
 
Sijazunguka sana Arusha ila kiukweli maeneo ya Kisongo kunaonekana kuzuri sana kuanzia maisha lakini pia sio mbali na mjini daladala zipo za kushato. Wanaojua zaidi watasema
Kaa kisongo ukae karibu na uwanja wa afcon😂 napapendaga kule Kuna Barabara ya bypass ya uwanja wa ndege naendaga kufanya mazoezi, au nkiweza ntachkua gar naenda monduli, monduli mjin Kuna mandhar flan nzuri sana alafu kisongo Kuna sehemu mob za kuchill kama tembo club, Amani house, TGT nk huko hamna uswahili kwa maana ya kujuana lakin maisha ni cheap kwa sababu ni sehem ambayo haikujengwa mapema kama kaloleni, kijenge, ungltd, morombo n.k
 
Asante sana kwa huu mwongozo kaka
 
Back
Top Bottom