Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

Kisongo ni wamasai kwa wameru ni kuanzia tengeru kwenda USA na mchai
Jamaa aliuliza kati ya kisongo na usa ni wapi kupata ardh kwa urahisi

Nikamjibu kisongo, kwa maana usa wameru kuudha ardhi huwa ni wagumu

Hujaona izo gaps mkuu?
 
Kisongo ni wamasai kwa wameru ni kuanzia tengeru kwenda USA na mchai
Jamaa aliuliza kati ya kisongo na usa ni wapi kupata ardh kwa urahisi

Nikamjibu kisongo, kwa maana usa wameru kuudha ardhi huwa ni wagumu

Hujaona gaps izo
 
Ni sawa lakini haimaanishi USA na Tengeru viwanja haviuziki ila ardhi ya kule Ina rutuba kuliko ya kisongo kwahiyo gharama yake ni kubwa ila ukitaka unauziwa tu pia wameru sio kabila kubwa kivile maeneo mengi USA na maji ya chai wanakaa makabila mchanganyiko mno
 
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa

Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
KWA MROMBOOOO KIMEUMANA NENDA UKO
 
Back
Top Bottom