Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

Akishakaa mda anaona mwenyewe wapi panamfaa, sehemu nyingi sana zinafaa kutegemea na interests na uwezo
 
Hivi huko USA/mchai compared na kisongo, wapi kuko na availability ya viwanja

Kuna viwanja sehemu Karibu sana bei rahisi mfano Loti na intel, mnaenda USA na kisongo kufanyaje?

Olkeryan na kiserian yote wanakata maeneo mpaka 2m, mbali kote huko mnafuata nini? Labda Kama kazi ni huko!
 
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa

Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
Kama anapanga n ngusero au uswahilin ndy pazr
 
Kuna viwanja sehemu Karibu sana bei rahisi mfano Loti na intel, mnaenda USA na kisongo kufanyaje?

Olkeryan na kiserian yote wanakata maeneo mpaka 2m, mbali kote huko mnafuata nini? Labda Kama kazi ni huko!
Sorry, huko loti/ Intel na hizo sehem nyingine, viwanja vyake vimepimwa?
 
Sehemu nyingine nzuri ni USA au mchai japo ni mbali depend na kazini kwako ni wapi
USA mwanangu nilikuwa nakuja kumkula bint wa kipare matata sanaaa daaah umenikumbusha hapo leganga
 
Kuna moshono around club d napo ni pazuri na usafiri mda wote
 
Hv kisongo pakoje wadau, maana panatangazwa sana ,
Ukipita uwanja mdogo wa ndege wa Arusha kama unaenda Dodoma au Mwanza ndio kisongo uko ni sehemu ambayo haikua imejengwa sana coz watu wengi walipendelea eneo kijani la karibu na mlima Meru lakin kutokana na uhaba wa ardhi ndio sasa hiv watu wanakimbilia huko
 
Back
Top Bottom