Hivi huko USA/mchai compared na kisongo, wapi kuko na availability ya viwanjaSehemu nyingine nzuri ni USA au mchai japo ni mbali depend na kazini kwako ni wapi
Hivi huko USA/mchai compared na kisongo, wapi kuko na availability ya viwanja
Kama anapanga n ngusero au uswahilin ndy pazrKama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa
Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
Sorry, huko loti/ Intel na hizo sehem nyingine, viwanja vyake vimepimwa?Kuna viwanja sehemu Karibu sana bei rahisi mfano Loti na intel, mnaenda USA na kisongo kufanyaje?
Olkeryan na kiserian yote wanakata maeneo mpaka 2m, mbali kote huko mnafuata nini? Labda Kama kazi ni huko!
USA mwanangu nilikuwa nakuja kumkula bint wa kipare matata sanaaa daaah umenikumbusha hapo legangaSehemu nyingine nzuri ni USA au mchai japo ni mbali depend na kazini kwako ni wapi
😂😂😂 changia mada jombi, acha uasheratiUSA mwanangu nilikuwa nakuja kumkula bint wa kipare matata sanaaa daaah umenikumbusha hapo leganga
Kisongo,,,wameru wagumu kuuza ardhi pia na ukabila mwingi sanaHivi huko USA/mchai compared na kisongo, wapi kuko na availability ya viwanja
Wewe ndo unajua sasa👍 bajaji Yako 500 uko town afu maisha ni rahisi coz Kuna mchanganyikoKama anapanga n ngusero au uswahilin ndy pazr
Kisongo ni wamasai kwa wameru ni kuanzia tengeru kwenda USA na mchaiKisongo,,,wameru wagumu kuuza ardhi pia na ukabila mwingi sana
Looh wewe mgeni..Kisongo,,,wameru wagumu kuuza ardhi pia na ukabila mwingi sana
Ukipita uwanja mdogo wa ndege wa Arusha kama unaenda Dodoma au Mwanza ndio kisongo uko ni sehemu ambayo haikua imejengwa sana coz watu wengi walipendelea eneo kijani la karibu na mlima Meru lakin kutokana na uhaba wa ardhi ndio sasa hiv watu wanakimbilia hukoHv kisongo pakoje wadau, maana panatangazwa sana ,
Kisongo kuna wameru?Kisongo,,,wameru wagumu kuuza ardhi pia na ukabila mwingi sana