Ni sawa lakini haimaanishi USA na Tengeru viwanja haviuziki ila ardhi ya kule Ina rutuba kuliko ya kisongo kwahiyo gharama yake ni kubwa ila ukitaka unauziwa tu pia wameru sio kabila kubwa kivile maeneo mengi USA na maji ya chai wanakaa makabila mchanganyiko mno