Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Maua ๐ŸŒธ๐ŸŒธ๐ŸŒผ ya kipekee sijui kapotelea wapi siku hizi.
 
Sio kwamba alikua anataka kunifurahisha ila yeye hunifurahisha kila siku
Jana alifanya kukufurahisha,namuheshimu sana kama mshenga wangu,,lkn sikutegemea kama gentleman aseme maneno yale
 
Nakupenda sana! Sasa Etugrul Bey anaona wivu kila muda ananifata na mimi nishamwambia wewe kwangu ni namba 1โ˜บ๏ธ
Mwambie nafasi imejaa, hivyo awe mpole. 1 ni 1 tu, ukiiSQUARE bado ni moja tu, mwambie ze chance yu a lukin for iz okopaid bai makaveli, plizi try anadha plesi. ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ
 
Mwambie nafasi imejaa, hivyo awe mpole. 1 ni 1 tu, ukiiSQUARE bado ni moja tu, mwambie ze chance yu a lukin for iz okopaid bai makaveli, plizi try anadha plesi. ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ
Anaumia, muoneshe shimo la choo apige mchomo humo, au tumpe pupa la tindikali ajichovye ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ
Ndugu yangu! Mtu akinichokoza lazima nikuite uje kumpa vipande vyake๐Ÿ˜‚
Mzaramo si mzaramo mpemba si mpemba
 
SweetyCandy kipenz,,,dont take things personal,,jifunze kudharau mambo,,kama kuna mtu anakuchukulia poa,,atatokea mwengine atakufanya kipaumbele chake

Kuna sweet guys around here labda bado tu huja wajua,,so usipoteze mda wako na nguvu yako kwa mtu ambaye hana mda na wewe,,wekeza hisia zako kwa mtu anayestahili upendo wako

Be patient mda wako utakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ