Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Alipoapishwa kuwa Rais baada ya mtangulizi wake kufariki, Samia alikuwa anakuja sana Marekani.

Alijipendekeza kwa Kamala Harris, mpaka wakafanya ka press conference, na baadaye Kamala akaitembelea Tanzania.

Nahisi kulikuwa na jitihada za makusudi za kuongeza urafiki na Marekani baada ya kile kilichoonekaa kama kudhoofika kwa mahusiano ya nchi hizo mbili kipindi Rais Magufuli akiwa madarakani.

Katika kipindi hicho pia ndo akacheza kwenye ile sinema ya Royal Tour na yule Mmarekani ‘Piraa’ [hayo ni matamshi ya Samia ya jina la Peter katika lafudhi ya Kimarekani 😂].

Sasa kwa mauaji ya makusudi aliyoyafanya siku ya Oktoba 29 mpaka Novemba 3-4, na habari mbaya kumhusu yeye zilivyoenea duniani kote, na tishio la kufunguliwa mashitaka kwenye mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, na hili tukio la juzi ambapo Rais wa Venezuela Nicolas Maduro alinyakuliwa toka kwenye ikulu yake iliyopo jijini Caracas, bila kusahau ile kauli yake ya kiburi dhidi ya nchi za magharibi ya “who are you”, sidhani kabisa kama huyo Samia atakanyaga Marekani hii kwa kipindi chote ambacho Rais Trump atakuwa madarakani.

Samia ataishia kumtuma waziri wake wa mambo ya nje ambaye ataishia kukutana na madiwani wa Marekani na wawakilishi wa majimbo.

Marco Rubio hana muda wa kukutana na huyo Kombo.

Kombo kawa ni mtu wa kukutana na ma state senators na state reps.

Natamani huyo Samia akamatwe na ikiwezekana hata wambambikie na yeye kesi.
 
We bwana mzee mbona unajiabisha sasa.

Hakuna mtu anaweza mzuia kwenda UNGA.
Yes, the U.S. has denied entry or restricted access for some UN-related individuals, claiming security exceptions under the 1947 UN Headquarters Agreement, which obligates the U.S. as host to allow representatives access but also includes a "security reservation" allowing control over entry to safeguard its security
. This creates a tension, with the UN arguing these denials violate the agreement, while the U.S. uses the security clause for diplomats from sanctioned nations or those it deems a threat, leading to disputes and even relocation of UN meetings in the past.

U.S. Stance & Actions
  • Security Exception: The U.S. invokes the "security reservation" in the UN Headquarters Agreement to deny visas for national security, extremism, or foreign policy reasons.
  • Examples: Denials have affected diplomats from Iran, Sudan, Venezuela, and Palestinian officials like Mahmoud Abbas.
  • Restricted Access: Instead of outright denial, the U.S. has also restricted diplomats' movement to areas near the UN HQ, as seen with Iranian diplomat Javad Zarif.
 
Naweza kukupa orodha ndefu tu ya viongozi mahasimu wa marekani waliokwenda hiyo mikutano.

Tanzania sio hasimu wa nchi ya Marekani.

Wala hatuna sifa ya nchi Kama Sudan.
 
Bibi kizee ajuza alizungumza kwa kufuata mkumbo, sasa kuna harakati za wananchi kudai mabadiliko hasa katika nchi za ki dictator hasa Africa na Amerika ya kusini, nchi nyingi ambazo ziliwekewa vikwazo kutoka EU na US au pengine kupewa onyo viongozi wa nchi hizo wamewajibu kwa dharau viongozi hao kutoka US na EU, wakidhani wanao wajibu ni kama wananchi wanao wafira, kuwateka na kuwaua.

Nadhani , na nina amini ni katika kile Mr Trump kuwakumbusha madictator wote kwamba wao EU na US ni kina nani , kama huyu bibi kizee alivyowauliza...

Maduro alikuwa na ulinzi mara 100 zaidi ya huyo bibi...

Sasa bibi alimuona Maduro akikebehi kuhusu US na yeye akafuatia...

Mnavamia wananchi na wanaharakati usiku mnawatesa, kuwaua, kuwafira na kuwapoteza, sasa mmekutana na wababe wao wanateka rais... Kum@m@ke....

Tukumbuke pia former speaker wa bunge alizungumza kwenye bunge la dunia shit kama hizo, sasa ngoja wakutane na wababe,....
 
Wamarekani wakisema hawataki uingie kwenye nchi yao huna la kufanya.

Samia ni pariah. Ni muuaji.

Aje tummwagie tindikali.
Hicho kipande kilishatolewa kwa UN hivyo ni eneo maalum ingawa lipo katika ardhi ya marekani.

Utaishia tu kusema hivyo ila kumwagia tindikali itakuwa labda ndotoni.

Serikali Imeshachukua hatua kwa kilichotokea kuna tume imeundwa na nyingine zipo mbioni, hivyo kama kuna lolote wananchi wanapaswa kwenda huko walikoelekezwa kwa hatua zaidi.
 
Samia alizungumza kwa kufuata mkumbo, sasa kuna harakati za wananchi kudai mabadiliko hasa katika nchi za ki dictator hasa Africa na Amerika ya kusini, nchi nyingi ambazo ziliwekewa vikwazo kutoka EU na US au pengine kupewa onyo viongozi wa nchi hizo wamewajibu kwa dharau viongozi hao kutoka US na EU, wakidhani wanao wajibu ni kama wananchi wanao wafira, kuwateka na kuwaua.

Nadhani , na nina amini ni katika kile Mr Trump kuwakumbusha madictor wote kwamba wao EU na US ni kina nani , kama huyu bibi kizee alivyowauliza...

Maduro alikuwa na ulinzi mara 100 zaidi ya huyo bibi...

Sasa bibi alimuona Maduro akikebehi kuhusu US na yeye akafuatia...

Mnavamia wananchi na wanaharakati usiku mnawatesa, kuwaua, kuwafira na kuwapoteza, sasa mmekutana na wababe wao wanateka rais... Kum@m@ke....
Sasa WU A U wakimbeba na kuondoka nae wataenda kumfungia na PDiddy au atachagua mwenyewe atamfanya nini?
 
Hicho kipande kilishatolewa kwa UN hivyo ni eneo maalum ingawa lipo katika ardhi ya marekani.

Utaishia tu kusema hivyo ila kumwagia tindikali itakuwa labda ndotoni.

Serikali Imeshachukua hatua kwa kilichotokea kuna tume imeundwa na nyingine zipo mbioni, hivyo kama kuna lolote wananchi wanapaswa kwenda huko walikoelekezwa kwa hatua zaidi.
Old school
Go shut up
 
Back
Top Bottom