Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Unajua utendaji kazi na ratiba za ICC?

Unadhani ukienda ICC leo kesho wanatoa hati ya kumkamata mtu halafu keshokutwa yake wanamfunga?

Akili za CCM ni sawa na mavi ya mbuzi.

Would you kafir people please grow the fuc.k up??

Kwahiyo nyinyi mnadhani nchi hii itaendeshwa kwa drama za wapuuzi na watu wasiojielewa kwa propaganda za kitoto kama hizo?

Kila mnalokuja nalo linafeli...nchi iko imara kwenye kila kona mnayotaka kuijaribu nayo.

Na itaendelea kuwa imara.
 
Inahusiana na nini....!!?

Hivi unafikiri anapenda kukaa Kizimkazi badala ya Chamwino...!?

Alipokawa yule anashinda chato mbona mlikuwa hamsemi??

Mara msema kafa,mara mseme mgonjwa wa akili...yaani makafiri akili zenu hasara kuliko mavi ya nguruwe
 
Would you kafir people please grow the fuc.k up??

Kwahiyo nyinyi mnadhani nchi hii itaendeshwa kwa drama za wapuuzi na watu wasiojielewa kwa propaganda za kitoto kama hizo?

Kila mnalokuja nalo linafeli...nchi iko imara kwenye kila kona mnayotaka kuijaribu nayo.

Na itaendelea kuwa imara.
Samia ni muuaji. Ni kiongozi haramu.

*** her.
 
Alipoapishwa kuwa Rais baada ya mtangulizi wake kufariki, Samia alikuwa anakuja sana Marekani.

Alijipendekeza kwa Kamala Harris, mpaka wakafanya ka press conference, na baadaye Kamala akaitembelea Tanzania.

Nahisi kulikuwa na jitihada za makusudi za kuongeza urafiki na Marekani baada ya kile kilichoonekaa kama kudhoofika kwa mahusiano ya nchi hizo mbili kipindi Rais Magufuli akiwa madarakani.

Katika kipindi hicho pia ndo akacheza kwenye ile sinema ya Royal Tour na yule Mmarekani ‘Piraa’ [hayo ni matamshi ya Samia ya jina la Peter katika lafudhi ya Kimarekani 😂].

Sasa kwa mauaji ya makusudi aliyoyafanya siku ya Oktoba 29 mpaka Novemba 3-4, na habari mbaya kumhusu yeye zilivyoenea duniani kote, na tishio la kufunguliwa mashitaka kwenye mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, na hili tukio la juzi ambapo Rais wa Venezuela Nicolas Maduro alinyakuliwa toka kwenye ikulu yake iliyopo jijini Caracas, bila kusahau ile kauli yake ya kiburi dhidi ya nchi za magharibi ya “who are you”, sidhani kabisa kama huyo Samia atakanyaga Marekani hii kwa kipindi chote ambacho Rais Trump atakuwa madarakani.

Samia ataishia kumtuma waziri wake wa mambo ya nje ambaye ataishia kukutana na madiwani wa Marekani na wawakilishi wa majimbo.

Marco Rubio hana muda wa kukutana na huyo Kombo.

Kombo kawa ni mtu wa kukutana na ma state senators na state reps.

Natamani huyo Samia akamatwe na ikiwezekana hata wambambikie na yeye kesi.
Na kubwa zaidi kutaka kumuua Father Kitima, kuwateka na kuwadhalilisha mapadre wa Kanisa Katoliki, kuyafungia makanisa ya Ufufuo, na sasa hivi kuwatumia Bakwata na UVCCM kulishambulia Kanisa Katoliki, kwa ujumla wa yote haya hathubutu kuja huko ataishia kwenda ujombani tu Oman.
 
Sawa ila kuna kitu hakipo sawa kwa nyie Diaspora

mnazidi kupoteza ushawishi na kuonekana Elimu yenu ya kukariri haijawakomboa kujitambua na kuwa na fikra chanya.

yaani kitendo cha kuabudu wazungu na kuwaza maandamanao kama njia pekee ya kudai haki ilionesha wazi kuwa nyie hamjitambui.


kwa umri wenu na uzoefu mlibidi kujua tatizo linaoisumbua Tz ni nini na sio kuwa mnadandia matukio.
Hivi wewe KIAZI bado unajitutumua tu na ule utapeli wako u Dr wa mchongo
 
Trump kaiheshimisha sana US.

Sio mauzinduzi ya teknolojia tu kutisha watu na kutest mabomu, jamaa anafanya kweli FIELDWORK na matokeo ya operationa tunayaona
Hadi muda huu walionunua vifaa vya wachina na Urusi wanajiuliza.
Imetokea Iran na Venezuela na zana hizo hazijaona kitu.
Wanaona pia Moscow inawaka kupitia Ukraine
 
Back
Top Bottom