Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Hakuja kuzurura, alikuja kutafuta wawekezaji,wamarekani wamesaini kuwekeza gas Lindi,rare Earths na wanajenga mahoteli ya kitalii
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Wamarekani wakisema hawataki uingie kwenye nchi yao huna la kufanya.

Samia ni pariah. Ni muuaji.

Aje tummwagie tindikali.
Magufuli utawala wake hajawahi kufika huko kwa mabeberu upuuzi mtupu eti USA kwani mtu asipofika USA maisha hayaendi BLADFAKEN
 
Hicho kipande kilishatolewa kwa UN hivyo ni eneo maalum ingawa lipo katika ardhi ya marekani.

Utaishia tu kusema hivyo ila kumwagia tindikali itakuwa labda ndotoni.

Serikali Imeshachukua hatua kwa kilichotokea kuna tume imeundwa na nyingine zipo mbioni, hivyo kama kuna lolote wananchi wanapaswa kwenda huko walikoelekezwa kwa hatua zaidi.
Wewe ni mpumbavu. Unaongelea tume ambayo hata mtoto wa chekechea hawezi kuiamini. Hivi unadhani wazungu wana njaa na machawa kama wewe? Wake up and smell the coffee brother. Eti serikali imeshachukua hatua. So stupid
 
Back
Top Bottom