Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Bosi Nyani Ngabu kuna kitu kinaitwa Guilty conscious hata ungekuwa ni wewe. Magazeti na.mitandao ya dunia kama CNN wameshakubandika jina wewe ni butcher huwezi kwenda kwenye nchi zao.

Utaamua kwenda Dubai. Oman. Korea. Mauritius labda na Egypt hata Kenya asiende.
 
Hicho kipande kilishatolewa kwa UN hivyo ni eneo maalum ingawa lipo katika ardhi ya marekani.

Utaishia tu kusema hivyo ila kumwagia tindikali itakuwa labda ndotoni.

Serikali Imeshachukua hatua kwa kilichotokea kuna tume imeundwa na nyingine zipo mbioni, hivyo kama kuna lolote wananchi wanapaswa kwenda huko walikoelekezwa kwa hatua zaidi.
MELO aweke reaction ya DOLE LA KATI KATI.

Yaani kesi ya swala unaipeleka kwa FISIII 🤔
 
fikra za wabeba box zinatafakarisha sana

yaani mpaka sasa upo unafikiri wazungu is everything in ur life and country

ur too idiot

SSH is there
 
WEWE FALA SAMIA NI RAIS WA TANZANIA NA SIYO RAIS WA MAREKANI...

KUJA MAREKANI SIYO LAZIMA WALA FAHARI KWAKE...AFTER ALL MMEISHIWA PROPAGANDA ZOTE MNATAKA KUFANANISHA VITA YA US NA VENEZUELA IFANANE NA TZ??TZ INA SHID GANI NA US

MAKAFIRI KILA MNALOKUJA NALO LINAGONGA MWAMB MAFALA NYINYI
 
Acha kutumia lugha yao basi.
Sawa ila kuna kitu hakipo sawa kwa nyie Diaspora

mnazidi kupoteza ushawishi na kuonekana Elimu yenu ya kukariri haijawakomboa kujitambua na kuwa na fikra chanya.

yaani kitendo cha kuabudu wazungu na kuwaza maandamanao kama njia pekee ya kudai haki ilionesha wazi kuwa nyie hamjitambui.


kwa umri wenu na uzoefu mlibidi kujua tatizo linaoisumbua Tz ni nini na sio kuwa mnadandia matukio.
 
Samia ashakuwa chizi, anavua nguo hadharani huku akisema kwa sauti: Damu! Damu! Damu!.

Kwahiyo, siyo tu hawezi kufanya ziara za US na kwingineko, hata ziara za ndani ya nchi hawezi kuzifanya.
 
WEWE FALA SAMIA NI RAIS WA TANZANIA NA SIYO RAIS WA MAREKANI...

KUJA MAREKANI SIYO LAZIMA WALA FAHARI KWAKE...AFTER ALL MMEISHIWA PROPAGANDA ZOTE MNATAKA KUFANANISHA VITA YA US NA VENEZUELA IFANANE NA TZ??TZ INA SHID GANI NA US

MAKAFIRI KILA MNALOKUJA NALO LINAGONGA MWAMB MAFALA NYINYI
HAO JAMAA HAWAJITAMBUI
 
Yes, the U.S. has denied entry or restricted access for some UN-related individuals, claiming security exceptions under the 1947 UN Headquarters Agreement, which obligates the U.S. as host to allow representatives access but also includes a "security reservation" allowing control over entry to safeguard its security
. This creates a tension, with the UN arguing these denials violate the agreement, while the U.S. uses the security clause for diplomats from sanctioned nations or those it deems a threat, leading to disputes and even relocation of UN meetings in the past.

U.S. Stance & Actions
  • Security Exception: The U.S. invokes the "security reservation" in the UN Headquarters Agreement to deny visas for national security, extremism, or foreign policy reasons.
  • Examples: Denials have affected diplomats from Iran, Sudan, Venezuela, and Palestinian officials like Mahmoud Abbas.
  • Restricted Access: Instead of outright denial, the U.S. has also restricted diplomats' movement to areas near the UN HQ, as seen with Iranian diplomat Javad Zarif.
Una uhakika hiki ulichomuwekea hapa hiyo lugha anaielewa?

Juzi tu kiongozi wa Mamlaka ya Palestine Mahmoud Abbas kanyimwa Viza ya kuingia Marekani.

Kuna wajinga mpaka sasa hawajui USA nini, uzuri Saudi Arabia wameusoma mchezo mapema ma kujisalimisha chini ya ulinzi wa Marekani.
 
Sawa ila kuna kitu hakipo sawa kwa nyie Diaspora

mnazidi kupoteza ushawishi na kuonekana Elimu yenu ya kukariri haijawakomboa kujitambua na kuwa na fikra chanya.

yaani kitendo cha kuabudu wazungu na kuwaza maandamanao kama njia pekee ya kudai haki ilionesha wazi kuwa nyie hamjitambui.


kwa umri wenu na uzoefu mlibidi kujua tatizo linaoisumbua Tz ni nini na sio kuwa mnadandia matukio.
Samia ni muuaji!

Samia hakuchaguliwa na Watanzania milioni 31.

Samia ni haramu.
 
Samia ni muuaji!

Samia hakuchaguliwa na Watanzania milioni 31.

Samia ni haramu.

SI MMEKIMBILIA ICC MBONA KIMYA HADI SASA HAMNA MAJUBU KULIKONI??

NA MLIVYO MAFALA SAIZI MNAKIMBILIA KWA TRUMP AJE AWASAIDIE ETI KUISHUGHULIKIA TZ HIVI MNA AKILI KWELI MAKAFIRI??

KAMA MNA USHAHIDI KWELI NA DATA MNAZO MNALALAMIKA NINI??

KANISA LIKITAKA SAMIA AMEFELI SASA AIBU KWAO WAMEFELI WAO MAFALA WAO KAMA NYINYI
 
HAO JAMAA HAWAJITAMBUI

MAKAFIRI MIAKA MINGI SANA TUMEKUWA TUNAWALEA LEA NA KUWACHEKEA WANADHANI SISI NI MAFALA KWAMBA HATUJUI NCHI HII KILIKUWA KINAENDELEA NINI.

NCHI INAENDA VIZURI NA WAMEISHIWA HOJA BAADA YA KUHAMASISHA ZILE FUJO NA WANAUMIA KUONA LENGO LAO LIMEFELI
 
SI MMEKIMBILIA ICC MBONA KIMYA HADI SASA HAMNA MAJUBU KULIKONI??

NA MLIVYO MAFALA SAIZI MNAKIMBILIA KWA TRUMP AJE AWASAIDIE ETI KUISHUGHULIKIA TZ HIVI MNA AKILI KWELI MAKAFIRI??

KAMA MNA USHAHIDI KWELI NA DATA MNAZO MNALALAMIKA NINI??

KANISA LIKITAKA SAMIA AMEFELI SASA AIBU KWAO WAMEFELI WAO MAFALA WAO KAMA NYINYI
Unajua utendaji kazi na ratiba za ICC?

Unadhani ukienda ICC leo kesho wanatoa hati ya kumkamata mtu halafu keshokutwa yake wanamfunga?

Akili za CCM ni sawa na mavi ya mbuzi.
 
Samia ni muuaji!

Samia hakuchaguliwa na Watanzania milioni 31.

Samia ni haramu.
Mbaya zaidi unaweza kukuta Samia si mbaya, bali hawa vibwengo wake kama waliomo humu wanashindwa kutumia akili kwa vitu vidogo sana.

Unaweza vipi kuhesabu kura million 31 kwa siku tatu bila data base za Internet?

Hivi hizi kenge za mama zilishindwa hata kutumia simple logic ya kumpa huyu mama ushindi wa 72% na nyimgine wakazigawa kwa Chauma na wajinga wenzao?

Roho mbaya na ubinafsi hata uchaguzi wa maigizo bado kenge za mama hazitaki kuachia chochote, hawa watu ndio kaburi la Ccm.

Kuna vitu tunamlaumu bure huyu Mama lakini ukweli wanufaika kama mstaafu asiyetaka kustaafu ndio wabaya wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom