Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Wanajenga mahoteli gani? Motel 6 na ma extended stay? 😂Hakuja kuzurura, alikuja kutafuta wawekezaji,wamarekani wamesaini kuwekeza gas Lindi,rare Earths na wanajenga mahoteli ya kitalii
Ndiyo.Unaandika kama huna kichwa ,
Mikutano ya UNGA kuna wa kumzuia?
abuse aoneUnaandika kama huna kichwa ,
Mikutano ya UNGA kuna wa kumzuia?
Aende UNGA akaseme nini? Akifika tu DC atakumbana na mabango ya 29/10 ya kufa mtu.Unaandika kama huna kichwa ,
Mikutano ya UNGA kuna wa kumzuia?
We bwana mzee mbona unajiabisha sasa.Ndiyo.
Mara kibao Philip Mpango ndio amekuwa akihutubia UNGAUnaandika kama huna kichwa ,
Mikutano ya UNGA kuna wa kumzuia?
Yes, the U.S. has denied entry or restricted access for some UN-related individuals, claiming security exceptions under the 1947 UN Headquarters Agreement, which obligates the U.S. as host to allow representatives access but also includes a "security reservation" allowing control over entry to safeguard its securityWe bwana mzee mbona unajiabisha sasa.
Hakuna mtu anaweza mzuia kwenda UNGA.
Naweza kukupa orodha ndefu tu ya viongozi mahasimu wa marekani waliokwenda hiyo mikutano.Yes, the U.S. has denied entry or restricted access for some UN-related individuals, claiming security exceptions under the 1947 UN Headquarters Agreement, which obligates the U.S. as host to allow representatives access but also includes a "security reservation" allowing control over entry to safeguard its security
. This creates a tension, with the UN arguing these denials violate the agreement, while the U.S. uses the security clause for diplomats from sanctioned nations or those it deems a threat, leading to disputes and even relocation of UN meetings in the past.
U.S. Stance & Actions
- Security Exception: The U.S. invokes the "security reservation" in the UN Headquarters Agreement to deny visas for national security, extremism, or foreign policy reasons.
- Examples: Denials have affected diplomats from Iran, Sudan, Venezuela, and Palestinian officials like Mahmoud Abbas.
- Restricted Access: Instead of outright denial, the U.S. has also restricted diplomats' movement to areas near the UN HQ, as seen with Iranian diplomat Javad Zarif.
Wamarekani wakisema hawataki uingie kwenye nchi yao huna la kufanya.Naweza kukupa orodha ndefu tu ya viongozi mahasimu wa marekani waliokwenda hiyo mikutano.
Tanzania sio hasimu wa nchi ya Marekani.
Wala hatuna sifa ya nchi Kama Sudan.
Kamala kamuingiza KING awaulize WU A U mjomba Trump hua ajibu kwa mdomo tu ila anajibu kwa vitendo zaidi?Alijipendekeza kwa Kamala Harris, mpaka wakafanya ka press conference, na baadaye Kamala akaitembelea Tanzania.
Hicho kipande kilishatolewa kwa UN hivyo ni eneo maalum ingawa lipo katika ardhi ya marekani.Wamarekani wakisema hawataki uingie kwenye nchi yao huna la kufanya.
Samia ni pariah. Ni muuaji.
Aje tummwagie tindikali.
Sasa WU A U wakimbeba na kuondoka nae wataenda kumfungia na PDiddy au atachagua mwenyewe atamfanya nini?Samia alizungumza kwa kufuata mkumbo, sasa kuna harakati za wananchi kudai mabadiliko hasa katika nchi za ki dictator hasa Africa na Amerika ya kusini, nchi nyingi ambazo ziliwekewa vikwazo kutoka EU na US au pengine kupewa onyo viongozi wa nchi hizo wamewajibu kwa dharau viongozi hao kutoka US na EU, wakidhani wanao wajibu ni kama wananchi wanao wafira, kuwateka na kuwaua.
Nadhani , na nina amini ni katika kile Mr Trump kuwakumbusha madictor wote kwamba wao EU na US ni kina nani , kama huyu bibi kizee alivyowauliza...
Maduro alikuwa na ulinzi mara 100 zaidi ya huyo bibi...
Sasa bibi alimuona Maduro akikebehi kuhusu US na yeye akafuatia...
Mnavamia wananchi na wanaharakati usiku mnawatesa, kuwaua, kuwafira na kuwapoteza, sasa mmekutana na wababe wao wanateka rais... Kum@m@ke....
Old schoolHicho kipande kilishatolewa kwa UN hivyo ni eneo maalum ingawa lipo katika ardhi ya marekani.
Utaishia tu kusema hivyo ila kumwagia tindikali itakuwa labda ndotoni.
Serikali Imeshachukua hatua kwa kilichotokea kuna tume imeundwa na nyingine zipo mbioni, hivyo kama kuna lolote wananchi wanapaswa kwenda huko walikoelekezwa kwa hatua zaidi.