Kwa kilichomtokea Maduro, sidhani kama Samia atakanyaga tena Marekani kama ilivyokuwa hapo awali

Unajua utendaji kazi na ratiba za ICC?

Unadhani ukienda ICC leo kesho wanatoa hati ya kumkamata mtu halafu keshokutwa yake wanamfunga?

Akili za CCM ni sawa na mavi ya mbuzi.

Would you kafir people please grow the fuc.k up??

Kwahiyo nyinyi mnadhani nchi hii itaendeshwa kwa drama za wapuuzi na watu wasiojielewa kwa propaganda za kitoto kama hizo?

Kila mnalokuja nalo linafeli...nchi iko imara kwenye kila kona mnayotaka kuijaribu nayo.

Na itaendelea kuwa imara.
 
Inahusiana na nini....!!?

Hivi unafikiri anapenda kukaa Kizimkazi badala ya Chamwino...!?

Alipokawa yule anashinda chato mbona mlikuwa hamsemi??

Mara msema kafa,mara mseme mgonjwa wa akili...yaani makafiri akili zenu hasara kuliko mavi ya nguruwe
 
Samia ni muuaji. Ni kiongozi haramu.

*** her.
 
Na kubwa zaidi kutaka kumuua Father Kitima, kuwateka na kuwadhalilisha mapadre wa Kanisa Katoliki, kuyafungia makanisa ya Ufufuo, na sasa hivi kuwatumia Bakwata na UVCCM kulishambulia Kanisa Katoliki, kwa ujumla wa yote haya hathubutu kuja huko ataishia kwenda ujombani tu Oman.
 
Hivi wewe KIAZI bado unajitutumua tu na ule utapeli wako u Dr wa mchongo
 
Trump kaiheshimisha sana US.

Sio mauzinduzi ya teknolojia tu kutisha watu na kutest mabomu, jamaa anafanya kweli FIELDWORK na matokeo ya operationa tunayaona
Hadi muda huu walionunua vifaa vya wachina na Urusi wanajiuliza.
Imetokea Iran na Venezuela na zana hizo hazijaona kitu.
Wanaona pia Moscow inawaka kupitia Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…