Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

Yanga hawezi kuwa mdogo kwa Karia na genge lake!, Ulivyoona hilo tamko ni tiali kuna mtu analiwa kichwa ili hali iwe shwari!.
Karia na genge lake wapishe .....uchunguzi dhidi ya upuuzi huu!. Yanga sio jkt wala mashujaa.
1000279150.jpg
 
Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.

Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar.

Ila Mimi hua nashangaa Sana hivi MTU unakuaje shabiki wa Mpira wa Tanzania? Tanzania hakuna soka pako nyuma Sana, na washabiki wengi wa soka tz hata vichwani wanakuaga kama hamnazo.

Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na yanga.
Kila Mmoja Hushabikia Akipendacho
Usilazimishe Unacho kipenda ww Sote Tukufuate kama Nani?
Kashabikie Mpira unao utaka Ni ww
Ila Yanga Aende Zanzibar au Wapi Hamkomoi mtu anajikomoa Mwenyewe na Viongozi wake Wajinga Wajinga.
Miaka 3-4 nyuma Yanga Huyu huyu aligomea Mchezo Lakini Simba Hakwenda CAS
Kama Shida ni TFF Mmeemda CAS Haya mnataka nini!
 
Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.

Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar.

Ila Mimi hua nashangaa Sana hivi MTU unakuaje shabiki wa Mpira wa Tanzania? Tanzania hakuna soka pako nyuma Sana, na washabiki wengi wa soka tz hata vichwani wanakuaga kama hamnazo.

Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na yanga.
Bora zanzibar viongozi wa mpira wanajielewa na si wala rushwa wala hawana unazi na timu yoyote!

Ligi ya bongo inaendeshwa na bodi ya ligi iliyojaa njaa, uhuni, unazi, rushwa, ubabe, ujinga, maamuzi ya kitoto🚮🚮🚮🚮
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums1222824732.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Watanzania wameuziwa Tiketi hewa harafu wanatangaziwa kuuziwa tiketi hewa kwa mara ya pili aisee...
 
bora yanga wana wawili wenye akili, rage yeye hakupata hata hao wawili ye aliona simba wote mbumbumbu

huoni yanga ana afadhari wako wawili, alafu anaye msema yanga nae yuko kwenye kundi la mbumbumbu
Mashabiki wa Simba wengi hawajitambui.
 
Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.

Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar.

Ila Mimi hua nashangaa Sana hivi MTU unakuaje shabiki wa Mpira wa Tanzania? Tanzania hakuna soka pako nyuma Sana, na washabiki wengi wa soka tz hata vichwani wanakuaga kama hamnazo.

Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na yanga.
Itakuwa safi sana tutampandisha Azam
 
Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na S

Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.

Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar.

Ila Mimi hua nashangaa Sana hivi MTU unakuaje shabiki wa Mpira wa Tanzania? Tanzania hakuna soka pako nyuma Sana, na washabiki wengi wa soka tz hata vichwani wanakuaga kama hamnazo.

Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na yanga.
Siyoinaweza kuhama,mpango ni kuhamia Zanzibar tuwaache TFF waendeleze uhuni wao.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1000259082.jpg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Back
Top Bottom