Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
😅😅😅😂😂😂😂😂Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.
Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar.
Ila Mimi hua nashangaa Sana hivi MTU unakuaje shabiki wa Mpira wa Tanzania? Tanzania hakuna soka pako nyuma Sana, na washabiki wengi wa soka tz hata vichwani wanakuaga kama hamnazo.
Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na yanga.
Nyie Utopolo vyura wa matopeni mna shida gani. Yaani mnadeka hadi mnakera. Ni malalamiko tu kila kitu mnajilinganisha na Simba.
Mkitaka kuhama ligi hameni tumeshawachoka. Nendeni hata Msumbiji maana hapo Zanzibar tutakutana kombe la Muumgano
Mchukueni na mfalme wenu mumbebe mabegani