Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

Basi itakuwa kweli yale yote aliosema manara kuhusu nyuma mwiko
Kwamba wenye akili ni wawili tu mzee jk na mzee manara ila wengine wote wakiongozwa na hersi hamnazo
"Simba wote mbumbumbu" Rage alisema bora sisi tumepata wawili tu wenye akili nyie wote ni mbumbumbu 😁😁😁
 
"Simba wote mbumbumbu" Rage alisema bora sisi tumepata wawili tu wenye akili nyie wote ni mbumbumbu 😁😁😁
1000259082.jpg

Mtafute mwenye akili hapo
 
Mpira wa Tanzania mnauweza wenyewe NI takataka
Mbona wewe ndio unaonekana unaufatilia huo mpira wa Tanzania kuliko hata unaowasema
Kitu hukifuatilii unawezaje kukianzishia thread ili tujadili
 
Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka.

Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar.

Ila Mimi hua nashangaa Sana hivi MTU unakuaje shabiki wa Mpira wa Tanzania? Tanzania hakuna soka pako nyuma Sana, na washabiki wengi wa soka tz hata vichwani wanakuaga kama hamnazo.

Hata CCM kufanya wanachotaka mtaji wao mkubwa ni Mashabiki wa Mpira wa bongo hasa hasa Simba na yanga.
Na hapo chukua hayo yote uliyosema, ujue Ligi ya NBC ndio ligi namba tano Afrika nzima. Sasa piga picha ligi namba 31 au 47 Afrika zenyewe zikoje ! Ahahahahaha!!
 
Shida ya watanzania sasahivi kila mtu anajifanya comedian!!

Mtu katoa wazo la msingi, badala ya kutoa point za msingi kwaajili ya kusaidia Mpira wetu, mtu anaongea kufurahisha watu!, au kuonyesha mapenzi yake kwa timu.

Hata Kama Kuna mapenz ya timu kumbuka ni Muhimu kuhakikisha Mpira wetu unakua

Mpira wetu ni Muhimu kuliko timu yako..
Kuliko hata u comedian unaotaka kutuonyesha..

Nimechoshwa sana na tabia hii ya kipuuz
Ndio vijana wetu ambao wanataka tuwaachie nchi. Wao ni utani na ushabiki bila kuwa na hoja. Wakitoka kwenye comedy wanaporomosha matusi tu.

Mungu akisaidie hiki kizazi kisicho na mbele wala nyuma.
 
Lakini tukiweka ushabiki pembeni, hili wazo la kwenda Zanzibar limekaa poa sana, embu uto hili lifanyieni kazi. Ila mkumbuke Zanzibar hawaruhusu kutangaza betting kwa hiyo sijui Tarimba atafanya mafekeche gani. Kuna uwezekano mkubwa kiujumla mtayumba kiuchumi ila kwenye hili nitawaunga mkono.
 
Ndio vijana wetu ambao wanataka tuwaachie nchi. Wao ni utani na ushabiki bila kuwa na hoja. Wakitoka kwenye comedy wanaporomosha matusi tu.

Mungu akisaidie hiki kizazi kisicho na mbele wala nyuma.
Hivi sijui ni nani alianzisha tabia ya kuusifia ujinga!!
Tusije kuwa Comedian nation! Kila kitu tunafany comedy.

Masuala ya msingi mtu ana comment comedy au matusi ili apate attention ya watu.

Mafanikio hayapo kweny umaarufu tuu
 
Na hapo chukua hayo yote uliyosema, ujue Ligi ya NBC ndio ligi namba tano Afrika nzima. Sasa piga picha ligi namba 31 au 47 Afrika zenyewe zikoje ! Ahahahahaha!!
Namba 5 AFRIKA mnasema nyie, LIGI inayopanga matokeo
 
Namba 5 AFRIKA mnasema nyie, LIGI inayopanga matokeo
Hatusemi sie. Huo ni utaratibu wa CAF kutoa Msimamo wa Ligi Bora Afrika kwa vigezo walivyojiwekea. Na LAZIMA uvikubali. Ni vya kwao CAF walivyojiwekea.
Na wewe una haki ya kuweka vya kwako. Hata baada ya kuweka vigezo vyako vikasema Ligi ya NBC ni ya mwisho ulimwenguni, sawa tu. Maana ni kwa vigezo vyako!
Ushanfahamu jombaa!!!??
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;View attachment 3325905
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
HATUCHEZI FC
20231114_054529.jpg
IMG-20240719-WA0114.jpg
JamiiForums1527619607.jpg
 
Back
Top Bottom