Kwakweli 😀😀Pombe mbaya sana bwashee
Haya kaa vizuri niutieMhmmm usifanye hivyo na wewe ,nitie moyo
Pole sana, i hope hukubeba mbarika yoyoteDah , jana nililewa mno nikaingiza hisia za kijinga sana
Siku zingine hua unalewa kwa sababu zipi?Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa
Unamtaka wewe sio bureHuna haja ya kuomba msamaha ndo njia uloichagua.
HaikuhusuUnamtaka wewe sio bure
Basi nimekuelewa, ingia PM ulimalizane naeHaikuhusu