Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
kuna kimoja kimeanza kuji replaisha kule juu hujakiona? 😅😅
Mahi wangu sijazingatia em nipe code hiyo..!! 😹😹

Afu ilikuwaje siku ile ukakimbia kule mambo yalivyoanza kunouga mpk tukala ban wenzio..!! 🤣
 
hivi hawaoni kama wanajisumbua kukulisha ban? maana una comeback za kutosha 🤣
Hamna nnayo hii na inajulikana 😹😹

Sina wa kumuogopa mpk niwe nazo nyingi.

Hivi id yako ya zamani ipi?
Km nkamu vile afu km my darling 😹
 
Hamna nnayo hii na inajulikana 😹😹

Sina wa kumuogopa mpk niwe nazo nyingi.

Hivi id yako ya zamani ipi?
Km nkamu vile afu km my darling 😹
id yangu hata ya zamani haijulikani nilisahau password ila nilikua tu silent killer na yale mazonge yote ya selfika enzi hizo 😂😂
 
Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana.

Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu.

Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
🙌🏿🏃🏿🏃🏿
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom