😹😹😹 Hata 1m atleast kwa vile yupo mambele tungeshawishika..!!Ameanzia mbali sanaa😹😹,.
Walau angeanza na 100k ila foteM hapana nakataa
Nisikilize mimi jirani😹😹,.😹😹😹 Hata 1m atleast kwa vile yupo mambele tungeshawishika..!!
Kwahiyo hii waungwana tumegoma..!! 😹😹Nisikilize mimi jirani😹😹,.
We haya
😁😁🤣🤣🤣 Mamaake haina comeback hiiMi nlipoteza Milion 100 majuzi na bado sijajibu watu vibaya wala sijaja kuanzisha uzi. Hii mitego watu tunaijua sana.
Mie ndio nakuambia ,. Usiamini hizi comments za humu jirani😹Kwahiyo hii waungwana tumegoma..!! 😹😹
Swala sio kuamini, sifikiri kama kuna mtu ni mpumbavu kiasi cha kutaka watu wa amini mambo yake , binafsi siandiki uzi , nilifanya huu tu kwa heshima ya kuwataka radhi kiungwana tuMie ndio nakuambia ,. Usiamini hizi comments aaza humu jirani😹
Kuna mtu mwingine humuhumu wanajamii wote tunajua yuko zake nanilii kumbe,. ( hili ntajaribu kwanza kulog in kwa zile i’d zangu nyingine kama ntazikumbuka nije niwaeleze vizuri😹😹😹)
Wengine tukipoteza elfu kumi tu na homa tunapata🤣Sijamaanisha ujiue ila kwa kifupi nikipoteza milioni 1 leo hata jf siingii zaidi nitakua nawaza kuliko kawadi.
Kwa maisha ya sasa 80% ya watanzania hawajawahi kuishika milioni 40 wala hawategemei kuishika. Hii inamaanisha wewe ni mtu wa uchumi wa juu ndio maana tunachat hapa wakati jana umepoteza milioni 40.
Shukuru sana kwa nafasi ya uchumi uliyopo..... mimi hapa kudunduliza milioni 1 naweza kuchukua miezi miwili baada ya kutoa matumizi 😊😊
Fanya hivyo jirani na unitag puliiizz napentraaaa mie wohiii..!! 😹😹Mie ndio nakuambia ,. Usiamini hizi comments za humu jirani😹
Kuna mtu mwingine humuhumu wanajamii wote tunajua yuko zake nanilii kumbe,. ( hili ntajaribu kwanza kulog in kwa zile i’d zangu nyingine kama ntazikumbuka nije niwaeleze vizuri😹😹😹)
Yupo maposeni eti wa kunyumbaMie ndio nakuambia ,. Usiamini hizi comments za humu jirani😹
Kuna mtu mwingine humuhumu wanajamii wote tunajua yuko zake nanilii kumbe,. ( hili ntajaribu kwanza kulog in kwa zile i’d zangu nyingine kama ntazikumbuka nije niwaeleze vizuri😹😹😹)
Hii subiri nilewe😹Fanya hivyo jirani na unitag puliiizz napentraaaa mie wohiii..!! 😹😹
Mambo ya abroad to kivule!!
😹😹😹😹😹 Bombambili sokoni🙌🏻🙌🏻Yupo maposeni eti wa kunyumba
Kijana wangu naona umemuamulia aisee,harudii tena,😹😹😹 Hata 1m atleast kwa vile yupo mambele tungeshawishika..!!
unaongoza list ya wahaini.Unajifanya msemaji wake kisa umesikia 40M imetajwa
Shauri yako