Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Bi
Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana

Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu

Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Bila kufanya makosa huwezi kuwa binadamu. Hongera kwa kuwa muungwana , nina imani uliowakwaza wamekusamehe.
 
Meku na hela, wee [emoji23][emoji23][emoji23]
Min hiyo pesa apoteze aje JF kutukana?
Thubutuuu!! Hapo angekiwasha huko kuja kuonekana hapa kashazipata pesa zake, angetuletea uzi wa “Nilivyopambana kurejesha pesa zangu ndani ya week 2” 😹😹😹
 
Sasa nijiue mkuu?
Sijamaanisha ujiue ila kwa kifupi nikipoteza milioni 1 leo hata jf siingii zaidi nitakua nawaza kuliko kawadi.

Kwa maisha ya sasa 80% ya watanzania hawajawahi kuishika milioni 40 wala hawategemei kuishika. Hii inamaanisha wewe ni mtu wa uchumi wa juu ndio maana tunachat hapa wakati jana umepoteza milioni 40.
Shukuru sana kwa nafasi ya uchumi uliyopo..... mimi hapa kudunduliza milioni 1 naweza kuchukua miezi miwili baada ya kutoa matumizi 😊😊
 
Tumetofautiana mkuu , hatuwezi fanana
 
Hahaha jamani Mlongo kwani humjui min akishalewaga kujitia billionaire wa Jf??,.
The next morning aje na uzi wa kuomba radhi ili mumwambie mlevi anaongeaga ukweli kwamba kweli mpunga upo,.

Sema watu mna mbinu humu😂😂🙌🏻
Li min liongo liongo jirani 😹😹😹
Hii mbinu yake atawapata wajinga wajinga..!!

Itakua kuna kiburushuti anakiwinda sio bure 😹😹

Eti min -me Sema ukweli hii nyavu umemshushia nani?? 😹
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom