Na alitetea sana jana🤣🤣Naona uliyemchamba jana kisa kuomba buku 10 kaja na maelezo ya kukulaumu
Safi sana.Dah nilichati na kwenye group la ukoo , niliwatukana 😅
Hawezi kukubali, anajifanya mwamba🤣🤣Kashakana
DuhYou did on purpose bwashee,.
And that’s your way of seeking attention humu tunakufaham mda mrefu,.
Mbona wengine tunachat tukilewa na hatujai andika ujinga ujinga kama huu wako🚮🚮🚮🚮
🤣🤣40 ya konywe!Shindii 40 sio mdogo
Huyu jamaa ndio tabia yake nowdays,.
NisamehenUnaitafuta vita mkuu.
Kweli Lee niliona jana ulinionya , wewe ni rafiki wa kweli🙏You did on purpose bwashee,.
And that’s your way of seeking attention humu tunakufaham mda mrefu,.
Mbona wengine tunachat tukilewa na hatujai andika ujinga ujinga kama huu wako🚮🚮🚮🚮
😂😂 Inafurahisha pia inahuzunisha ,pole sana mkuu hope now uko fineJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Kwamba reaction ya ulevi inafanana kwa walevi wote!!You did on purpose bwashee,.
And that’s your way of seeking attention humu tunakufaham mda mrefu,.
Mbona wengine tunachat tukilewa na hatujai andika ujinga ujinga kama huu wako🚮🚮🚮🚮
🙆labda umeamka na hasiraHuyu jamaa ndio tabia yake nowdays,.
Ni attention seeker kama attention seekers wengine
Jipya hana
Fungua tu ukinywee kikombe chako🤣🤣Jana nilikua mtata sana , wasp group la ukoo nilizingua now naona msg 1000+ hapa naogopa mpaka kuzifungua😅
Next time tafuta namna nyingine nzuri ya kutaka attention hii yako imepitwa na wakati,.Kweli Lee niliona jana ulinionya , wewe ni rafiki wa kweli🙏
Hangover🤣🤣🙆labda umeamka na hasira