Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Comments zotee hizoo na watu hamfafanui kilichotokea?? Sisi watunza masijara tutaelewaje? Au ndo km alivyosema Mlongoo Lee, watu wanatafuta [emoji3544]??

Khaaah.
 
Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana

Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu

Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
SEMA uamini uchawi ila ningekupeleka Lindi kijiji kimoja huko huyo ndugu yako angetema hiyo m. 40 within 24 hours.
 
Comments zotee hizoo na watu hamfafanui kilichotokea?? Sisi watunza masijara tutaelewaje? Au ndo km alivyosema Mlongoo Lee, watu wanatafuta [emoji3544]??

Khaaah.
Hahaha jamani Mlongo kwani humjui min akishalewaga kujitia billionaire wa Jf??,.
The next morning aje na uzi wa kuomba radhi ili mumwambie mlevi anaongeaga ukweli kwamba kweli mpunga upo,.

Sema watu mna mbinu humu😂😂🙌🏻
 
Hahahaha unahisi kwanini naweza kufanya hivyo?
 
Sema labda kama nguvu zimeanza kupungua ila hawa hawana shida kwa suluhisho la muda mfupi na muda wa kati.
Acha kunifundisha tabia mbaya katika Uzee huu nilionao Mkuu 😂

Nilijiwekea mipaka kutokula hao mashemela, maana kama mafriji yao hayagandishi, huo msala wake utakuwa sio wa kitoto 🙌
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom