Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
Naomba usiache kutumia hiyo emoji ina kitu sana jirani..!! 😹😹😹😹😹
Naomba usiache kutumia hiyo emoji ina kitu sana jirani..!! 😹😹😹😹😹
Msamaha tumeupokea kwa mikono yote 🤗🤗Nimeomba msamaha nimetoka sababu ,au mnataka nijinyonge kabisa🤣
Hamana, jando yao ni ya kufundishwa ulevi tu.Wachaga hamnaga jando na unyago?
Umeona eeh,. Hii emoji inanipa raha mimi wouii😹😹Naomba usiache kutumia hiyo emoji ina kitu sana jirani..!! 😹
Kazi ipo!Hamana, jando yao ni ya kufundishwa ulevi tu.
Sasa kama unaiona Leo Kwa Nini unaijibu, si unge chuna mkuu, huoni kua una shida weweSasa nani mwenye shida?
Wewe unayenifuatilia au mimi ambaye wala sikujui na hata hii ID yako ndio kwanza naiona leo?
Yani min we unatuona maphaller humu? 😹😹😹Naona mil 40 imeleta shida🤣
Hatutaki kesi jamani😂😹,.Niueni
Tag location.Niueni
Kwani sisi tumekwambia tunataka nini??😹😹Dah ukisema ukweli shida , ukisema uongo shida basi tufanye kama mnavyotaka🤣
Mimi nimejadili mada iliyopo mezani,Sasa kama unaiona Leo Kwa Nini unaijibu, si unge chuna mkuu, huoni kua una shida wewe