Katubu kwa herufi kubwa ya UziJamani mbona tumemsamehe,.
Tunaelewa ni pombe😢
Pole ,. Kila kitu kitakua sawa MinKweli, nimekiri nimeingia kwenye msongo wa mawazo itabidi ni lo out kwanza mpaka nikae sawa
Kumbe ndio hako kalifungua uzi wakuomba teni?🤣 kajamaa nimekaomba msamaha ila naona kanataka kuvimba
Naelewa sana , mimi sio mtu wa uzi , mpaka nimeuleta huu , natambua kosa , ila mengne huwa ni utani tu ila jana nilihamisha hasira kwa wasio husikaA ,. Kila kitu kitakua sawa Min
Ukishakua tu mwanaJf sahau kuhusu msongo wa mawazo,. Humu tupo matherapists wa bila kulipia utapona tu😹😹
Pole sana mkuuJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Kumbe ndio huyo alikuja kulia njaa humu?Ugomvi wenu umeanza jana sema hujagundua😂
Mtu anaomba 10k mkamtolea shombo
Mkuu,ishi yale maisha yako ya zamani..ulikuwa hucoment popote ni kutoa likes tu..Utajiri upo wapi hapo?
Mambo ya multipleKumbe ndio huyo alikuja kulia njaa humu?
Basi bila shaka njaa imesha panda kichwani ndio maana anagombana bila hata sababu ya msingi.
Pole sana, kwani na wewe ulituma mchango wa gari?Watu wakija na shida muwa fikirie jamani, mi kipindi nimesimamishwa chuo dom nilipitia magumu ACHA TU ndo ilikua mara yangu ya kwanza tangu nizaliwe nakunywa uji wa chumvi, kisa hela ya sukari hamna.
Nilipoona mambo magumu nikajisalimisha Kwa mbunge Antony mavinde nako sikupata msaada wowote, japo aliniahidi nikachoka kwendako kwake, nalia sana nikikumbika inaumiza mtoto wa kiume kuteseka.
Huwa nikiona mtu anadai ana shida hata kama ni tapeli Huwa nakuwa mzito kumdharau, kwani Nisha pita hayo maisha, acheni tu wakuu, nyie watoto wakishua msitutukane sisis masikini huwezi saidia kausha Kuna mtu atakuja kufa kimasihara kisa kukosa msaada Kwa kupuziwa, msifanye hivo kaka zangu na wadogo zangu sisi tumeishi hizo changamoto Kuna muda hata mia unakosea.
Yule jamaa mwenye uvimbe kichwani kalia sana asaidiwe, tukachukulia poa, tukaenda mchangi upendo nkone gari, jamaa kapoteza maisha hapa hapa bongo, but ndo maisha
Jamaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] shida huwa anahisi pekeyake ndio mlevi humu
JF VAR CHECKMambo ya multiple
Hivi unaweza weka akili kwenye mfuko wa shati? samahan mkuu,una mke, ulikimbiwa? Sababu Nini? Una madeni bank au taasisi yoyote? Umekosa mbinu ya kuyalipa? Nisha kusomaUnajua kusoma akili za wengine ila hujui kuisoma akili yako ili kuona ujinga ulio nao!
Unasoma akili za watu kwa kutumia hiyo hiyo akili yako au una akili zingine umeziweka kwenye mfuko wako wa shati?
Nimecheka kwa nguvu huku nilipo🤣JF VAR CHECK
Kumbe mtu mwenyewe yupo kwenye stage ya kuhangaika kutumia vidonge ili awe mweupe! 😀😀
Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe elimu Kwa manufaa ya wote, pliz wazee wa kutukana tafdhali hapa ni ulingo wa elimu si kubezana
![]()
- Alexido jz instagram
- seran
- Replies: 76
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Sawa pole,. Next time ukiwa na stress lewa ulaleNaelewa sana , mimi sio mtu wa uzi , mpaka nimeuleta huu , natambua kosa , ila mengne huwa ni utani tu ila jana nilihamisha hasira kwa wasio husika
Imani yangu inaniruhusu kuoa wake wanne,una mke?