Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Watu wakija na shida muwa fikirie jamani, mi kipindi nimesimamishwa chuo dom nilipitia magumu ACHA TU ndo ilikua mara yangu ya kwanza tangu nizaliwe nakunywa uji wa chumvi, kisa hela ya sukari hamna.
Nilipoona mambo magumu nikajisalimisha Kwa mbunge Antony mavinde nako sikupata msaada wowote, japo aliniahidi nikachoka kwendako kwake, nalia sana nikikumbika inaumiza mtoto wa kiume kuteseka.
Huwa nikiona mtu anadai ana shida hata kama ni tapeli Huwa nakuwa mzito kumdharau, kwani Nisha pita hayo maisha, acheni tu wakuu, nyie watoto wakishua msitutukane sisis masikini huwezi saidia kausha Kuna mtu atakuja kufa kimasihara kisa kukosa msaada Kwa kupuziwa, msifanye hivo kaka zangu na wadogo zangu sisi tumeishi hizo changamoto Kuna muda hata mia unakosea.
Yule jamaa mwenye uvimbe kichwani kalia sana asaidiwe, tukachukulia poa, tukaenda mchangi upendo nkone gari, jamaa kapoteza maisha hapa hapa bongo, but ndo maisha