Unaitafuta vita mkuu.Naona humu n mm pekee naishi maisha ya ukweli bila maigizo
sasa unaweza kukuta jamaa hata hajapoteza hiyo pesa Ila Ndo hvy ana target yake ya kuwaburuza watu fulani humu
Mkuu tupe location ya huyo ndugu tukamtemeshe huo mpunga!Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Usijifanye mwema na wewe ni hodari wakujibu watu vibaya wakiwa na shida nakujua sana Huwa unakosea mkuuSiku zingine hua unalewa kwa sababu zipi?
Unatafakari nini?Shindii supu nimeshapata, ila bado na natafakari
Muache min akeWap umenambia
Kumbe uliwahi kumuonya akavunga.!Nimemwambia huyo lakini hasikii
Kama ni mtihani sijisumbui kukutilia alama ya ❌ naandika tu OPKumbe uliwahi kumuonya akavunga.!
Katiba itumike, ila sema kalia sana afikiriwe
Hii imekaa kimkakati sanaJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Sawa sawa bwasheeHapana bwashee, mimi stress zangu ni za hela tu , mambo ya mchuchu kwa umri wangu nitakua nazingua sana
Na ndio pamekucha sijui panakua usiku sangapiMtoto halali na hela