Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Bwashee,msamaha hua hautolewi kirahisi hivyo,
Kamati ya maadili itakutana ndani ya masaa 24 ili kupitia vifungu vya sheria na miongozo yake kwanza,
Ndipo kamati itakuja na maamuzi yake ndani ya muda husika.
Bwashee, nisameheni tu šŸ˜… mpaka nimeandika uzi , nimeona upumbavu wangu wa kuchukulia mambo kihisia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom