Umetuchosha jana kukuombea msamaha kwa Melo! Wewe ni wa kumtukana mbele ya members?Nalewa kawaida tu , ila jana nililewa kwa stress bwashee
Unazngua broJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Upo sahihi, h mada n ya kinafiki tuuHuna haja ya kuomba msamaha ndo njia uloichagua.
Subiri mwenyewe aje useme ulipomuona akifanya kile kitendoSijawahi fungua uzi , ila leo imebidi nifungue nisameheni tu
Kweli.! 😂Umetuchosha jana kukuombea msamaha kwa Melo! Wewe ni wa kumtukana mbele ya members?
Mambo ya Jumapili hayo.Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Jf ilipoa naona wameamua kutuchangamshaUpo sahihi, h mada n ya kinafiki tuu
😅😅Angalia ata haijafika saa 6
View attachment 3586925