Almanusra unipige chupa jana baada ya kukusistizia umtumie yule dogo ata dollar 4 kimtindo 🤣😅😅
Sie tumeamka nazoDah nililewa kwa stress sana
Unalewa hadi hujielewi huoni unatia ubingwa wetu rehani?Hahahhaah madam unaponda sana😅
Huwa sielewi mnavyolewa halafu mnasema mnaamka na maumivu kiaje yaaniSie tumeamka nazo
Yaani leo nimeshindwa hata kunyanyua mguu
Nipo nashtua kuzimua vibe la janaðŸ¤
Huyu min -me wakati tunasema ''Ukilewa usichati" alifikiri tunatania.Unalewa hadi hujielewi huoni unatia ubingwa wetu rehani?
The Icebreaker
Hahahaha acha niwe mpole tu leo , nisameheni tu😅Unalewa hadi hujielewi huoni unatia ubingwa wetu rehani?
The Icebreaker
Sasa hapo wivu uko wapi?Wapare mna wivu sana 😅
Uzuri na sisi ni wagumu sana wakusamehe,Nachati bwashee , uzuri mmoja mimi nimwepesi sana kwa kukiri kosa
Ilikuwaje kwani?Kweli.! 😂
Ila sema mello muelewa anajua weekend ni nzito
Raha ya pombe unywe ulewe na ikibidi uyumbe kidogoHuwa sielewi mnavyolewa halafu mnasema mnaamka na maumivu kiaje yaani
Raha ya pombe,ujute uliyo yafanya jana.Raha ya pombe unywe ulewe na ikibidi uyumbe kidogo
Ukiona huyumbi we bado
Unajifanya msemaji wake kisa umesikia 40M imetajwaBasi nimekuelewa, ingia PM ulimalizane nae