Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Jana kamvua nguo mchana kweupe
Bro vipi tena
Screenshot_20260317-183218~2.jpg
 
Hahahha nimeomba msamaha kwa moyo mmoja , mimi sina mda wa kuwachangamsha humu ,kama hamtaki acheni😅
Bwashee,msamaha hua hautolewi kirahisi hivyo,
Kamati ya maadili itakutana ndani ya masaa 24 ili kupitia vifungu vya sheria na miongozo yake kwanza,
Ndipo kamati itakuja na maamuzi yake ndani ya muda husika.
 
Basi attach tuone

Jamaa haijawahi kulia hivi mnafanya tutamani kuona Ilikuwaje 😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom