Uache pombe sasa ndugu yangu.Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Hamna! Namuonea tu min me sababu hawezi kurusha maweSiku hizi nawewe umechangamka sana na kuchachuka siyo mchezo..😆
Utafikiri umefanyiwa software update.
Kumbe hua unanifuatilia,Usijifanye mwema na wewe ni hodari wakujibu watu vibaya wakiwa na shida nakujua sana Huwa unakosea mkuu
Ulim-rikiboy?Punguza ama uache pombe kabisa Mkuu!
Mimi nina miaka 45 sasa tangu niache kunywa hizo pombe baada ya kukosea mlango na kuingia kwenye chumba cha Mama Mkwe nikiwa nimelewa 😢🙌
Hapana, nilikosea mlango nikamkuta Mama mkwe yupo na kanga mojaUlim-rikiboy?
Sikubahatika kuona hata mojaJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Hahahaha mimi nakunywa kawaida tu ila kwa jana nilizingua😅Bwashee hii hutokea.
Ajali kazini ndiyo maisha.
Pombe noma. Niliwahi mzingua afisa mmoja mkubwa wa jeshi la mabaka mabaka nishalewa nikamwambia "I will hack your damn fuckin army" ...🤣🤣🤣
Palichafuka kinoma akataka kuwaita vijana wanishughulikie..
Bro zangu college mate wao wa UDSM wakamtuliza akapunguza masifa yake yule mhaya.
Shemeji zangu wahaya msichukulie personal hii 😄😆😆
Kwa kweli nilimkosea yule bro.
Dah! Ingekua hawa Gen Z wazee wa Bukavu mamkwe angejua maana ya dragon kutema moto.Hapana, nilikosea mlango nikamkuta Mama mkwe yupo na kanga moja
Jamaa mtu poa sana kwa humu JF.Hamna! Namuonea tu min me sababu hawezi kurusha mawe