Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Pole sana, sali utakuwa ok🤲🏽 umejua kitu na kujifunza sasa.

sikuona uliyo andika, nimepitwa 😄 mimi humu siingii sana hata siku zinapita.. nikiingia ni timeline tu.. naangalia post za mwanzo zimejitokeza nasoma moja mbili zimenivutia na ni page ya kwanza tu then huyooo.. yako nimeingia nabonyeza nipate za sasa yako ya kwanza.. Labda ubizi 🫢😅😅😅
 
Mangi ilikuwaje kwani?
Halafu mlevi siku zote anaongea ukweli usisingizie pombe.

Hiyo 40m mmhhmm!! Min acha hizo wote watoto wa mjini hapa tupo by birth down town..!! 😹
 
Niliomba radhi, na ndiyo nikaacha kunywa tangu siku ile

Sisi tuliozaliwa zamani, tulilelewa na kufundishwa ni kosa kuangalia maungo ya Mama mkwe

Akiwa sebuleni anaangalia TV, wewe mwanaume ni mwiko kukaa naye

Hata wa zamani kulikuwa vijana vichwa feto Mshana Jr alimnyoosha mkwe wake.

Source: yeye mwenyewe kupitia maandishi yake
 
I have seen some sort of a violence earlier in this thread , ngoja nimalize kufanya job nije nisome Uzi wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom