Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Utu uko wapi?
Screenshot ziko wapi?
Summary ya kilichotokea iko wapi?
Tunasoma msamaha ambao hatujui ulikosea nini?
Kwanini hulali mapema?
Kwanini ukilewa unachat?
Maswali ya msingi sana ambayo yanatakiwa kupatiwa majibu haraka iwezekanavyo.
 
Next time tafuta namna nyingine nzuri ya kutaka attention hii yako imepitwa na wakati,.

Mwenzio Davinc alikuwaga hivihivi kutaka kujulikana kwa mambo ya kujikweza kijinga jinga saiz yuko wapi?
Hapana Lee, unanikosea sana kusema nataka kujulikana , na nani na kwa malipo gani?
 
Mangi ilikuwaje kwani?
Halafu mlevi siku zote anaongea ukweli usisingizie pombe.

Hiyo 40m mmhhmm!! Min acha hizo wote watoto wa mjini hapa tupo by birth down town..!! [emoji81]
Kwani kuna nini humuu? Mie sielewi, nimepitwa na kipii??
Aaaah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom