Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

Status
Not open for further replies.
Acha kunifundisha tabia mbaya katika Uzee huu nilionao Mkuu 😂

Nilijiwekea mipaka kutokula hao mashemela, maana kama mafriji yao hayagandishi, huo msala wake utakuwa sio wa kitoto 🙌
Punguza uoga bro mashemeji wote hamna hata mmoja mwenye kariba ya usiri? Unanyonga kimya kimya furaha unapeleka kwa mke.
 
Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana

Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu

Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
40Meter kudadeki 😲😲
 
Hahaha jamani Mlongo kwani humjui min akishalewaga kujitia billionaire wa Jf??,.
The next morning aje na uzi wa kuomba radhi ili mumwambie mlevi anaongeaga ukweli kwamba kweli mpunga upo,.

Sema watu mna mbinu humu[emoji23][emoji23][emoji1316]
[emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo nawee umekua vawulensaa?? Ko Kumbe jana hajatindinganya chochote humu, ila kaamua kuja kushusha uzi wa kuomba msamaha na kusema kapoteza 40M??

Aaah baas kwishaaaa!! Meku na Nshomile ndivyo walivyo atiii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punguza uoga bro mashemeji wote hamna hata mmoja mwenye kariba ya usiri? Unanyonga kimya kimya furaha unapeleka kwa mke.
Hahaha......😂

Kweli umenikomalia hadi niruke na shemela 😁

Kwasasa siwezi tena, maana umri umenitupa mkono ila ingekuwa mwaka 47, ningejaribu 😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo nawee umekua vawulensaa?? Ko Kumbe jana hajatindinganya chochote humu, ila kaamua kuja kushusha uzi wa kuomba msamaha na kusema kapoteza 40M??

Aaah baas kwishaaaa!! Meku na Nshomile ndivyo walivyo atiii.
[emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹😹😹 shida huwa anahisi pekeyake ndio mlevi humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom