Kwani kwenye 40M wewe unataka bei ganiunaongoza list ya wahaini.
Kipenzi na wewe umeukwaa u platinum? 😹😹Yupo maposeni eti wa kunyumba
😹😹😹 🔥🔥🔥Hii subiri nilewe😹
Binafsi sijasamehe labda tupewe kama tulivyoJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana.
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu.
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Jirani nipe 1m ninunulie hisa za tembo 😀Kijana wangu naona umemuamulia aisee,harudii tena,
Ila hata hiyo 40 kwa sisi wabeba box ni ya kawaida tu,kwa currency value ya huko ndio inaonekana ni nyingi sana.
min -me
Tumekusamehe min jamani🥹Swala sio kuamini, sifikiri kama kuna mtu ni mpumbavu kiasi cha kutaka watu wa amini mambo yake , binafsi siandiki uzi , nilifanya huu tu kwa heshima ya kuwataka radhi kiungwana tu
Hivi kumbe hii ID ni ya L....yJirani nipe 1m ninunulie hisa za tembo 😀
Najua kwa currency yenu hio km shilingi 100 tu!
Ipo siku na wewe utaukwaa kipenzi 😀😀Kipenzi na wewe umeukwaa u platinum? 😹😹
Ulipanga utupie mistari nini jirani? 😹😹Hivi kumbe hii ID ni ya L....y
Nimeshtuka kuniita jirani.
😀😀
Mi nataka niukwae utajiri kwanza 😹Ipo siku na wewe utaukwaa kipenzi 😀😀
Nakuombea kipenzi na iwe hivyo.Mi nataka niukwae utajiri kwanza 😹
Kwahiyo ile LY bado unaitumia?Ulipanga utupie mistari nini jirani? 😹😹
Jirani usizuge isijekua umeshtuka mi kuomba hiyo 100 ya ulaya..!! Usinifanyie hivyo puliiizzz 😹😹
Pole broStress ktu ingine acha kabisa
Wewe kwanza tuma 100 ya ulaya hiyo ndo discussion zianze..!! Jirani vipi lakini!! 😹😹Kwahiyo ile LY bado unaitumia?
Nisije kujichanganya,
Dah! shikamoo JF aisee.
😀😀
lamo sijaona top ya afutatu fanya kusambaza upendo 🙄Wewe kwanza tuma 100 ya ulaya hiyo ndo discussion zianze..!! Jirani vipi lakini!! 😹😹