Kwani kwenye 40M wewe unataka bei ganiunaongoza list ya wahaini.
Kipenzi na wewe umeukwaa u platinum? πΉπΉYupo maposeni eti wa kunyumba
πΉπΉπΉ π₯π₯π₯Hii subiri nileweπΉ
Binafsi sijasamehe labda tupewe kama tulivyoJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana.
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu.
Kweli nisameheni wale nilio wakeraπ
Jirani nipe 1m ninunulie hisa za tembo πKijana wangu naona umemuamulia aisee,harudii tena,
Ila hata hiyo 40 kwa sisi wabeba box ni ya kawaida tu,kwa currency value ya huko ndio inaonekana ni nyingi sana.
min -me
Tumekusamehe min jamaniπ₯ΉSwala sio kuamini, sifikiri kama kuna mtu ni mpumbavu kiasi cha kutaka watu wa amini mambo yake , binafsi siandiki uzi , nilifanya huu tu kwa heshima ya kuwataka radhi kiungwana tu
Hivi kumbe hii ID ni ya L....yJirani nipe 1m ninunulie hisa za tembo π
Najua kwa currency yenu hio km shilingi 100 tu!
Ipo siku na wewe utaukwaa kipenzi ππKipenzi na wewe umeukwaa u platinum? πΉπΉ
Ulipanga utupie mistari nini jirani? πΉπΉHivi kumbe hii ID ni ya L....y
Nimeshtuka kuniita jirani.
ππ
Mi nataka niukwae utajiri kwanza πΉIpo siku na wewe utaukwaa kipenzi ππ
Nakuombea kipenzi na iwe hivyo.Mi nataka niukwae utajiri kwanza πΉ
Kwahiyo ile LY bado unaitumia?Ulipanga utupie mistari nini jirani? πΉπΉ
Jirani usizuge isijekua umeshtuka mi kuomba hiyo 100 ya ulaya..!! Usinifanyie hivyo puliiizzz πΉπΉ
Pole broStress ktu ingine acha kabisa
Wewe kwanza tuma 100 ya ulaya hiyo ndo discussion zianze..!! Jirani vipi lakini!! πΉπΉKwahiyo ile LY bado unaitumia?
Nisije kujichanganya,
Dah! shikamoo JF aisee.
ππ
lamo sijaona top ya afutatu fanya kusambaza upendo πWewe kwanza tuma 100 ya ulaya hiyo ndo discussion zianze..!! Jirani vipi lakini!! πΉπΉ