Zuella zuu
Senior Member
- Jan 1, 2026
- 184
- 382
kuna kimoja kimeanza kuji replaisha kule juu hujakiona? π πNa lazima wajae hii nyavu ina vitobo vidogo mpk dagaa utawapata..!! πΉπΉ
Mahi wangu sijazingatia em nipe code hiyo..!! πΉπΉkuna kimoja kimeanza kuji replaisha kule juu hujakiona? π π
mwenzangu nilipitiwa naamka midnight nakuta mmekula banπ€£π€£Mahi wangu sijazingatia em nipe code hiyo..!! πΉπΉ
Afu ilikuwaje siku ile ukakimbia kule mambo yalivyoanza kunouga mpk tukala ban wenzio..!! π€£
Ukilewa usichatJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana.
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu.
Kweli nisameheni wale nilio wakeraπ
Kuliwaka kinouma na km kawaida ban lazima zitembee..!! πΉπΉmwenzangu nilipitiwa naamka midnight nakuta mmekula banπ€£π€£
Mbona sisi tunalewa na tuna CHATII πUkilewa usichat
hivi hawaoni kama wanajisumbua kukulisha ban? maana una comeback za kutosha π€£Kuliwaka kinouma na km kawaida ban lazima zitembee..!! πΉπΉ
Unalalaje mmbea wewe na shengesha lilishafika mlangoni? πΉ
Hamna nnayo hii na inajulikana πΉπΉhivi hawaoni kama wanajisumbua kukulisha ban? maana una comeback za kutosha π€£
id yangu hata ya zamani haijulikani nilisahau password ila nilikua tu silent killer na yale mazonge yote ya selfika enzi hizo ππHamna nnayo hii na inajulikana πΉπΉ
Sina wa kumuogopa mpk niwe nazo nyingi.
Hivi id yako ya zamani ipi?
Km nkamu vile afu km my darling πΉ
ππΏππΏππΏJana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana.
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu.
Kweli nisameheni wale nilio wakeraπ